Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Kama wote tutakufa, mtu akisema flani atakufa na huyo flani akaja kufa siku moja, huo nao ni utabiri?

Ndo yale mambo ya Pasko ya voices from within 🤣.

Ujuha mtupu!
Kama mtabiri bado yupo hai ...huo utabiri ni valid Mwashambwa
 
na hao mnaowapokea walitabiriwa kifo kwa unyama wao?
Kifo wala hakihusishi mambo yenu ya siasa uchwara , wewe hauna uwezo wa kumzidi mtu ambae ameshakufa kwa chochote , labda mimi ndio nina huo uwezo bila kupepesa macho, na wala siwazi wala kuogopa kufa kama wewe bwashee
 
Back
Top Bottom