Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

Mwenzetu alisha ambiwa. Masikini yale mamilioni ya mafao sasa watoto ndio wanakula peke yao
 
Utabiri gani huu tangible 2021.By the way nami ninatabiri ipo siku Lema atakufa.By the way kila binadamu mwisho wake ni kifo.Hakuna utabiri hapa.
uko sahihi. my point is huyu aliwatesa sana wapinzani bungeni. tuwe watu wema.
 
Sawa. Ila kuna tabiri zaidi ya miaka 20. Kila aliyeshiriki kutaka kumuua Lissu kisa utofauti wa mwanzo atatangulia yeye mwanzo na Lissu atabaki mzima.

Samia kama amejipanga kutaka kumnyonga Lissu kisa hataki ushindani ataondoka mwanzo na Lissu atadunda.

Mnaona mnatumia nguvu kubwa yakutaka kuumiza na kuua watu kisa kukosolewa ila Mungu hutumia karma yake. Juzi ndugai aliomba kuchaguliwa ubunge Leo hayupo. Acheni kiburi na kujiona mnabunduki kifo hakihitaji bunduki.
Voetsek
 
Sema baada ya hapo aliishi vizuri tu,na kafa na familia yake kaiacha vizuri tu.Kwanza alikuwa mgonjwa wa HIV na kisukari tangia muda mrefu tu.Jamaa kafaidika lakini.
Unaiacha vizuri familia ya badaye
Huku nyuma utayajuwa yakatayo
Tokea 😄

Ova
 
Kiko wapi sasa? Unyanyasaji, ubabe,kujilimbikizia mali na madaraka kiko wapi?Ameenda navyo??
Alienda kutibiwa uingereza akakaa miezi akalipiwa na bunge/serikali. Ajabu akamnyima Lissu hata senti ya matibabu,, wakati walimpiga risasi wenyewe na hatimaye wakamfuta ubunge na kumnyima mishahara. Wala sijaumia kifo chake.
 
Back
Top Bottom