UTABIRI: Bernard Membe kumrithi Rais Samia S. Hassan

Acha ujinga wewe. Huyu bernard membe ambaye hata kujieleza hajui licha ya kueleza chochote kingine?
Kwanza hata huwezi kujua anataka nini ila siasa zake ni za uswahili tu. Kwa mfano yeye kuiba hela iliyotolewa na ghadafy kujenga kiwanda cha mbolea lindi atasema kuna ubaya gani kama mwenyewe kapinduliwa na kuuliwa? Kufa kufaana bhanaπŸ˜†πŸ˜†. Au mihadarati ina shida gani wakati watu wanapata hela nyingi na kuleta nyumbani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hao ndio waswahili wa pwani bhanaπŸƒπŸƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Umri umeenda huyo...2030 atakuwa over 80yrs
 
Membe ni hopeless kabisa, ataiangamiza nchi. Hana strategy za kitaifa bali ana ego ya kuamini kuwa yeye ni bora kuliko wote bila hata kufanya lolote. Alipewa nafasi ya kugombea chini ya ACT Wazalendo, hakuna aliolifanya tunaloweza kukumbuka, bali mkutano aliofanya kijijini kwake tu ambao haukuwa na mshiko wowote bali kuonyesha ego yake tu.

Rais mzuri ajaye kutokea CCM siyo mwana CCM yeyote tunayemjua katika siasa za leo! Anatakiwa awe na independent mind, siyo aliyelelewa na viongozi waliopita
 
Huyo joka la Mdimuni alirudi lini CCM?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
WTFffff
 
CCM wanawaza kugawana urais tu wakati taifa linaporomoka kiuchumi, kidemokrasia - wananchi hawana furaha kimaisha..umeme; maji; tozo; matibabu matatizo.
 
Utabiri mbovu SANA
 
hii nchi ili ibadilike, basi kuna ulazima wa kizaz cha wanasiasa wa leo hii kipotee chote na kije kizaz cha wananchi choka mbaya, ndicho kishike dola na kuongoza nchi kwa misingi ya haki na utawal bora.

tutachonga sana, tutalalamika sana, lkn bila kupotea kwa baazi ya watu huko serkalin hatuwez kuwa huru, wala nchi haiwez kupiga hatua.

kuna watu humo ktk vyama vyote vya siasa na chama tawala, wameshafanya kuwa vyama ni miliki zao na sehem zao za kurithishana na kuchaguana kwa mujibu wa matakwa yao uku undugu/ujamaa ukiwa umetawala,

wananchi wanatengwa mbali na chance ya kupata uongozi na nafasi serkalin sabbu ya uchu wa hawa wapuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…