Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Stephen Kamilius Membe ambaye ni mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkalia kooni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuweka hadharani nia yake ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA.

Upepo wa siasa hapa Mtama umegeuka ambapo kila kona ya Kijiji watu wanamuimba Membe tu mdomoni jambo ambalo linaonekana kama pigo kwa CCM kiasi cha kuomba "mma" kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Taarifa kutoka "ndani" zinadai kwamba ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan kuja hapa Kusini kwa maana ya Lindi na Ntwara imelazimishwa kuja kumuokoa Waziri Nape anayeonekana wazi kuzama kisiasa.

Membe amejiunga na Chadema na tayari anatarajia kufanya ziara Jimbo zima la Mtama kila Kijiji kusalimia wazee wa Kimwera walioudhika na uongozi wa Nape uliohamia Dar es salaam badala ya Mtama.

"Wanaohamua nani awaongoze na kwa wakati Gani ni sisi wenyewe wana Ntama, kwa Sasa tumeamua tunamtaka ntoto wetu Membe atuongoze, Nape arudi kwao", amesema Mzee Sijaona wa Chiponda Senta.

My take: Nape tafuta Chaka lingine Mtama si muafaka tena kwako. CCM tafuteni mpinzani sahihi kwa Stephen Membe otherwise jimbo linakwenda kwa Chadema.
 
Stephen Kamilius Membe ambaye ni mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkalia kooni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuweka hadharani nia yake ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chadema.

Ikawe kheri
 
Membe ni mzawa, huyo kiribatumbo aende akagombee kwao Tukuyu
 
Huyo Membe atauona moto fala huyo CCM imemlea na sasa ahame atalamba mawe mjinga huyo
 
Back
Top Bottom