mimi ni mimi
Senior Member
- Nov 2, 2012
- 129
- 51
iman yako iweke kwa mungu.ukimuomba na ukiamini amekusikia u wil nvr see those stuffs again
Akili ikiwa ndogo, hata maarifa ya uongeaji huwa duni. Kama unaamini wachawi wanamuomba Mungu ili wakuwangie, huyo mtaalam unayetaka tukuambie uende kwake ni zaidi ya MUNGU?
Kila la heri anyway, lkn nafikiri kuomba kwako hakufanikiwi kwa the way umemgrade Mungu that low.
Mwongo!!!!!Ukikwama kabisa nenda viwanja vya bunge kuna jamaa hatariiiii
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!

ndio muda mzuri wa wewe kuomba, ukiamka kuomba tu wanakimbia mbio za mwizi anayekaribia kukamatwa na hutawaona tena, wakikuta mtu anaomba hawawezi kufanya chochote
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!
kwa taarifa yako mara ya mwisho kuingia kwenye nyumba yeyote ya ibada ni mwaka1994,na nilishaingia msikitini,kanisani kabla wewe hujajua hata kutambaa.kuhusu uchawi siamini kama upo maana sijawahi ona na sijawahi hata kuwaza kwenda kwa whichdoctor.Huu ndio ushauri wa Ustaadh Elungata mfia dini ya Kiislam ambaye yuko radhi kubondwa BAN akibishana jinsi Allah alivyo na nguvu na utukufu. Katika hali ya mashaka, nguvu za Allah hazimsaidii Ustaadh Elungata, hapa ni SANGOMA ndio anapaswa kuabudiwa.
Sikiliza ndugu yangu, hakuna SANGOMA mwenye mamlaka zaidi ya Mungu. Hata wachawi wajipange kwa wingi zaidi ya vigae vya kuezekea nyumba, watatawanyika kama watawanyikavyo njiwa waliorushiwa jiwe mara litajwapo jina la Yesu kwa imani.