Mkuu Gody Kumuomba mungu ni sawa na kuwaomba wabaya wangu hawa tukae meza moja kupata suruhu wakati mimi sitaki suluhu nao hawa 'mburula'mie nataka kujibu mapigo maana jana wamenifanyia sekeseke jingine.
Nia ya kujibu mapigo ninayo.
Sababu ya kujibu mapigo ninayo.
Isipokua uwezo wa kujibu mapigo ndio sina that's why nipo hapa kuomba msaada huo ili nijibu mapigo.
Haiwezekani wanilaze chini hawa mbulula 'nyambafu'sana!
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!
Hahahahahahaaaaa!Hahahaha....duh. Huu mlimbwata alionipa bibi sasa utanishinda. Manake napendwa na walozi sasa. Hivi lakini, ukienda kurudia kunivunjia nazi si ungemuuliza mganga wako? Meanwhile ungeweka katangazo ukutani TAFADHALI SOGEZA MEZA NA VITI KISTAARABU WENZENU TUMELALA MNATUSUMBUA.
Aseee. Nimepatikana mwaka huu!

jamani mbavu zangu zinaniuma yaani hii kali kwa kweli uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!Chukua mavi ya mtu makavu,changanya na mkojo wako,weka na kete 2 za kuchezea bao, weka ktk brander saga mchanganyiko huo, pima kijiko kimoja kunywa mara 3 kwa siku,kwa muda wa siku 3 na nyingine paka usoni wakati wa kulala! utawaona tu!
Hii ndio JF bhana!jamani mbavu zangu zinaniuma yaani hii kali kwa kweli uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!
Hahahaha....duh. Huu mlimbwata alionipa bibi sasa utanishinda. Manake napendwa na walozi sasa. Hivi lakini, ukienda kurudia kunivunjia nazi si ungemuuliza mganga wako? Meanwhile ungeweka katangazo ukutani TAFADHALI SOGEZA MEZA NA VITI KISTAARABU WENZENU TUMELALA MNATUSUMBUA.
Aseee. Nimepatikana mwaka huu!
Hahahahaaaah!! Mkuu hiyo elimu haitolewi kirahisirahisi namna hiyo, kuna masharti yake sijui kama mtoa mada atayaweza.Ngoja Katavi aje kukupa mwongozo kuhusu hayo makitu. Kwani kule kwao wana ujuzi tangu wakiwa wadogo kama wachina au wajapan wajifunzavyo karate tangu wakiwa wadogo.
Nipe contact zake mkuu!
MKUU mandieta Ukitaka kuwaona wachawi tafuta Matongotongo ya Mbwa mweusi ikifika usiku jipakeWakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada,im serious aise!
kama humuamini MUNGU basi unamwamini shetani.....take care but alternatively kula kitimoto na mifupa yake iweke huko unakohisi wanafika au else tafuta maji ya baraka na wewe jitahidi sana kufanya maombi......CC: Aine