Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,079
- 12,319
Mungu akipenda. Tena huwezi amini siku hiyo nitaandika history ktk maixa yangu, kwani kwamara ya kwanza nitaishangilia simba AKA muhanga wa libolo. Vp ile ahadi yako utaiweka?Hahahahahaha!
Anyway,kwanza vp utakuwepo taifa j,mosi?mie ntanunua kesho ticket ya kuingia taifa.
Alafu ntakaa pale karibu na Manji wetu.
Kwahiyo yeyote utakayemuona yuko upande wa kulia wa atakapokua amekaa Manji ujue ndio mimi!