CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
- Thread starter
- #61
Yani mimi nateseka we unanicheka sio?nimecheka mpaka basi..dawa ya wachawi ni maombi tu ..
Yani mimi nateseka we unanicheka sio?nimecheka mpaka basi..dawa ya wachawi ni maombi tu ..
Yes mkuu niko safi,tena kimwili niko safi zaidi,tena zaidi maana mavazi yangu ni suit na mashati ya italia!!Maombi ya mwenye dhambi ni chukizo mbele za mungu!! uko safi kiroho na kimwili?
Wewe usiwajali kwanza fanya majaribio ya kucheleza kulala,lala saa nane za usiku,amka saa kumi na moja.na mda wote uwe unafanya mambo yako,kama kuchat .fungulia Tv sauti kubwa ili kufunika kelele za vitimbwi vyao.maana lengo lao usikie vituko vyao.
Jifanye hujui kinachoendelea wala usionyeshe hofu kwani ndo raha yao wanavyokuenjoy.
Ukiona wamekuzimia Tv auwamekuzaba kibao ujue kumbe wako serious kimbia kwa sangoma haraka sana.
Mpwa wangu suikatae kabla hujajaribu bhana, kataa baada ya kujaribu ati, sawa Mpwa nenda kagonge kilo kama tatu hivi upate mifupa uweke halafu utaniambia. Bytheway unajua kwani Bwana Yesu aliwafurumishia kule? Do you know the philosophy behind? Ok hilo ni somo jingine
huna hata Mungu
Mkuu Smile nshamuomba mungu lakini ndio kwanza wanazidi.
Lakini just remember kwamba mungu huyo huyo hata wachawi wanamuomba.
Sasa bora mimi nitumie njia nyingine!
nimecheka saaana jamani yaani you have made ma day.
Ndg you only need to pray in Jesus name, omba kabla ya kulala na unaweza pia kuamka muda wa saa nane usiku au saa tisa usiku na kuombna. Aidha, funga na kuomba na kukemea hali hiyo. Na ukiomba mwambie Mungu akuonyeshe hao maadui, unaweza ukawaona hata kwa ishara tu, wanaweza kuja kwako na kujisemesha visivyoeleweka hasa kama hawana kawaida ya kuja kwako, huyo ndiye Mungu ajibuye maombi
Unaamini dini gani, kama ni Mkrist basi mwalike Yesu Kristo
Mkuu Aine huo muda unaotaka niamke itakua ngumu,maana ndio muda wao wa kucheza 'sebene' ndani kwangu!
- Luke 10:17-20Yesu said:Ndipo wale sabini waliporudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hata pepo wanatutii kwa jina lako. Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme. Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru. Lakini, msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii; bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni.
Bible said:Baadhi ya Wayahudi wenye kutanga-tanga, nao ni wapunga pepo, wakajaribu kutaja jina la Bwana Yesu juu yao waliopagawa na pepo wachafu, wakisema, Nawaapisha kwa Yesu, yule anayehubiriwa na Paulo. Walikuwako wana saba wa mtu mmoja Skewa, Myahudi, kuhani mkuu, waliofanya hivyo. Yule pepo mchafu akawajibu, akawaambia, Yesu namjua na Paulo namfahamu, lakini ninyi ni nani? Na yule mtu aliyepagawa na pepo mchafu akawarukia wawili, akawaweza, akawashinda, hata wakatoka mbio katika nyumba ile hali wa uchi na kujeruhiwa. Habari hii ikajulikana na Wayahudi wote na Wayunani waliokaa Efeso, hofu ikawaingia wote, na jina la Bwana Yesu likatukuzwa.
Yes mkuu niko safi,tena kimwili niko safi zaidi,tena zaidi maana mavazi yangu ni suit na mashati ya italia!!
Ahsante mkuu!Hapo hakuna sayansi ya kawaida itatia maguu, ni anga nyingine kabisa hiyo.
BTW solution pekee ambayo haitakuwa na madhara kwako na ya uhakika ni kuliita Jina la Yesu kama walivyosema hapo juu. problem ni kuwa si kila mtu ana mamlaka ya kulitumia hili jina legally. Hiyo ndiyo sababu sio kila mtu ataona matokeo yake kwa sababu atakuwa analitumia illegally. Nitakupa mifano ya verses hapo chini.
Ila tu nikikumbuka siku nimepambana na mganga wa kienyeji akatoka nduki hajarudia vibuyu vyake mpaka leo huwa nacheka sana. Hili Jina lisikie tu!
Angalia legalities za kutumia Jina hili:
- Luke 10:17-20
Ulichojaribu kufanya ni kama hawa wandugu hapa chini
Kwa hiyo bila kuwa mwanafunzi wa Yesu hiyo mamlaka siyo yako ni kama usimame barabarani utumie mamlaka ya traffic police kusimamisha magari ilhali wanajua wewe sio trafiki wala polisi. Sikushauri kwenda kwa waganga, kuna mawili, au uibiwe kitapeli au uongezewe madudu zaidi ambayo siku za usoni yatakuumiza zaidi.
Aidha uende kwa Yesu au ubakie mpole tu uvumilie siku wakichoka watakuacha! Ila kwenda kwa shetani ili umwone shetani mh! Usijedanganywa ni mkeo au mama yako "anakuchezea" halafu wakati ndoa au udugu unakufa shetani amekaa pembeni anachekelea.
Its beyond the realm of Technology! Kama utahitaji ya ziada unitafute chemba!
Hapana ndugu anahitaji msaada kaona abishe hodi kwa nguli wa Teknolojia!Nimekosea jukwaa nini?
Mkuu Smile nshamuomba mungu lakini ndio kwanza wanazidi.
Lakini just remember kwamba mungu huyo huyo hata wachawi wanamuomba.
Sasa bora mimi nitumie njia nyingine!
Hapana ndugu anahitaji msaada kaona abishe hodi kwa nguli wa Teknolojia!
Una cha kusema?
Wewe usiwajali kwanza fanya majaribio ya kucheleza kulala,lala saa nane za usiku,amka saa kumi na moja.na mda wote uwe unafanya mambo yako,kama kuchat .fungulia Tv sauti kubwa ili kufunika kelele za vitimbwi vyao.maana lengo lao usikie vituko vyao.
Jifanye hujui kinachoendelea wala usionyeshe hofu kwani ndo raha yao wanavyokuenjoy.
Ukiona wamekuzimia Tv au wamekuzaba kibao ujue kumbe wako serious kimbia kwa sangoma haraka sana.
Akili ikiwa ndogo, hata maarifa ya uongeaji huwa duni. Kama unaamini wachawi wanamuomba Mungu ili wakuwangie, huyo mtaalam unayetaka tukuambie uende kwake ni zaidi ya MUNGU?
Kila la heri anyway, lkn nafikiri kuomba kwako hakufanikiwi kwa the way umemgrade Mungu that low.