CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi. Maana wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.
Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'
Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati. Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!
Pls msaada, im serious aise!