hili huwa linatokea sana kabla kuna maswali kadhaa je? Nyumba yako iko sehemu gani? Iko jiran na nn? Mti, Mto, Mawe etc Before kwenye hicho kiwanja kulikuwa na na nini? Labda makaburi n.k, je kiwanja au nyumba ilikuwa na mgogoro?? Wameshawahi kuwazuru? ukisema hayo tunaweza kukusaidia, coz samtym wewe ndo unaweza ukawa umekaa kwenye eneo ambalo ni njia au meeting point yao... Dawa za kuona wachawi zipo ila usiombe huwez himili utaona vitu vya ajabu hadi hutakuwa ukitoka nje, mfano sokoni hutataka kwenda kabisa.. If ur serious jibu hayo maswali nkwambie cha kufanya