Utaalamu kumuona mchawi usiku!

Utaalamu kumuona mchawi usiku!

hyo midudu ipo shehe,huku kwetu turiani mvomero kuna kijiji kinaitwa digalama,kuna mzee mmoja mtaaaaalam sana wa mambo hayo ana uwezo wa kukugeuza uwe jinsia tofauti hata ukiwa huko huko,anaweza kukusaidia
Nipe contact zake mkuu!
 
yaani wewe kila kitu kuomba tu!!!!! kama vile kipofu,matatizo hayatatuliwi kwa kuomba bana,ninkupambambana nayo.

maombi ndio kila kitu kwangu na kwako, biblia imetuambia "ombeni nanyi mtapewa Mathayo 7:7" utapambanaje ndg yangu bila maombi, na usitumie nguvu za kimwili maana zina mwisho wake, lakini nguvu za Mungu(rohoni) hazina mwisho na hazishindwi na chochote chini ya jua na wala kuzimu, ndio maana namuambia mandieta apambane kwa njia ya maombi. Na hata wewe acha kupambana kimwili
 
Nipe contact zake mkuu!

we jamaa hata kama kusoma huji hata picha mkuu?
Na maana hata kama demcrcy hujui lakin huangalii uzito wa ushauri wa watu!
WENGI WAPE! Wengi wamekushaur kuwa mrudie Mungu na uombe sana lkn wewe bado unafir hao waganga
leo nakuhakikishia kuwa ukienda huko unapotaka kwenda utapata matatzo zaid ya hayo ulionayo!

am out!!
 
Mkuu Gody Kumuomba mungu ni sawa na kuwaomba wabaya wangu hawa tukae meza moja kupata suruhu wakati mimi sitaki suluhu nao hawa 'mburula'mie nataka kujibu mapigo maana jana wamenifanyia sekeseke jingine.

Nia ya kujibu mapigo ninayo.
Sababu ya kujibu mapigo ninayo.
Isipokua uwezo wa kujibu mapigo ndio sina that's why nipo hapa kuomba msaada huo ili nijibu mapigo.
Haiwezekani wanilaze chini hawa mbulula 'nyambafu'sana!
 
Last edited by a moderator:
ukiona hayajakutokea shukur mungu kakuepusha na matatizo mtu akiomba msaada mpe ushauri na si kumuona mjinga mpuuzi jaribu kumuelekeza ili aelewe mungu ametuumba tuna uelewa tofauti tujaribu kutumia lugha nzuri. Ndugu yangu ukimuomba mungu kwa imani yako basi utamuona huyo mchawi kwa sisi waislam tunaambiwa kusema bismillah mara 20 kabla ya kulala ni kinga kubwa sana
 
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.

Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'

Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!

Pls msaada,im serious aise!

Chukua mavi ya mtu makavu,changanya na mkojo wako,weka na kete 2 za kuchezea bao, weka ktk brander saga mchanganyiko huo, pima kijiko kimoja kunywa mara 3 kwa siku,kwa muda wa siku 3 na nyingine paka usoni wakati wa kulala! utawaona tu!
 
Vipi kwa asiye muslim akisoma hilo neno mara 20 itafaa?
 
Chukua mavi ya mtu makavu,changanya na mkojo wako,weka na kete 2 za kuchezea bao, weka ktk brander saga mchanganyiko huo, pima kijiko kimoja kunywa mara 3 kwa siku,kwa muda wa siku 3 na nyingine paka usoni wakati wa kulala! utawaona tu!

kazi ipo...
Hata kama ni utajiri...
Sitaki ng'oo
 
Marko 16:15 Akawaambia, Enendeni
ulimwenguni mwote, mkaihubiri
Injili kwa kila kiumbe.
16:16 Aaminiye na kubatizwa
ataokoka; asiyeamini,
atahukumiwa.
16:17 Na ishara hizi zitafuatana
na hao waaminio; kwa jina langu
watatoa pepo; watasema kwa
lugha mpya;
16:18 watashika nyoka; hata
wakinywa kitu cha kufisha,
hakitawadhuru kabisa; wataweka
mikono yao juu ya wagonjwa, nao
watapata afya.
 
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza, juu ya majeshi ya pepo wabaya ktk ulimwengu wa roho!! Waefeso 6:17 😉
 
Wakuu naombeni mwenye kufahamu wapi kuna mtaalamu mwenye kua na dawa ya kuwaona wachawi.
Maanda wameifanya nyumba yangu ndio meeting station yao.

Nataka niwajue ni akina nani kisha nikawape makavu laivu 'nyambafu'

Juzi usiku walikua wanashindana kuburuza viti vya dining,jana wakawa wanachezea funguo za kabati.
Kuna siku waliwahi kumwaga mchanga kitandani!

Pls msaada,im serious aise!
Hapo kwenye red.......Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
HahahahahahaHahahahahaha!Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!uwiii.......Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!yalah.....Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa,mbavu zangu mie.
 
Kama kuna uovu ndani yako tubu ili uweze kupata kinga kamili kutoka kwa Mungu
2 Timotheo 2 : 19
Lakini msingi wa Mungu
ulio imara umesimama, wenye
muhuri hii, Bwana awajua
walio wake. Na tena, Kila
alitajaye jina la Bwana na
auache uovu.
 
Mkuu Gody Kumuomba mungu ni sawa na kuwaomba wabaya wangu hawa tukae meza moja kupata suruhu wakati mimi sitaki suluhu nao hawa 'mburula'mie nataka kujibu mapigo maana jana wamenifanyia sekeseke jingine.

Nia ya kujibu mapigo ninayo.
Sababu ya kujibu mapigo ninayo.
Isipokua uwezo wa kujibu mapigo ndio sina that's why nipo hapa kuomba msaada huo ili nijibu mapigo.
Haiwezekani wanilaze chini hawa mbulula 'nyambafu'sana!
Nakushauri ni bora utafute nao suruhu,vinginevyo utakua kwenye hatari kubwa zaidi mkuu mandieta
But pole huo ndio ukubwa.
Yani nimecheka utadhani mazuri lol!
 
Last edited by a moderator:
Uoga wa bure mbona hawajakudhuru? Au hujui kama na wewe unalindwa? MUNGU AKIKUACHA HATA SEKUNDE TU KWISHA KAZI. 2 Wafalme 6 : 15-22
6.15 Hata asubuhi na mapema
mtumishi wake yule mtu wa
Mungu alipoondoka, na kwenda
nje, kumbe! Pana jeshi la watu,
na farasi na magari,
wameuzingira mji ule. Mtumishi
wake akamwambia, Ole wetu!
Bwana wangu, tufanyeje?
6.16 Akamjibu, Usiogope; maana
walio pamoja nasi ni wengi kuliko
wale walio pamoja nao.
6.17 Elisha akaomba, akasema,
Ee Bwana, nakusihi, mfumbue
macho yake, apate kuona. Bwana
akamfumbua macho yule
mtumishi; naye akaona; na
tazama, kile kilima kilikuwa
kimejaa farasi na magari ya moto
yaliyomzunguka Elisha pande
zote.
6.18 Na walipomtelemkia Elisha
akamwomba Bwana, akasema,
Uwapige, nakusihi, watu hawa
kwa upofu. Akawapiga kwa upofu
sawasawa na neno la Elisha.
6.19 Elisha akawaambia, Njia hii
siyo, na mji huu sio, nifuateni
mimi, nami nitawapeleka kwa
mtu yule mnayemtafuta.
Akawapeleka Samaria.
6.20 Hata walipokwisha kuingia
Samaria, Elisha akasema, Bwana
wafumbue macho watu hawa,
wapate kuona. Bwana
akawafumbua macho wakaona;
kumbe! Walikuwa katikati ya
Samaria.
6.21 Naye mfalme wa Israeli
alipowaona, akamwambia Elisha,
Ee baba yangu, niwapige?
Niwapige?
6.22 Akamjibu, Usiwapige; je!
Ungetaka kuwapiga watu ambao
umewatwaa mateka kwa upanga
wako na uta wako? Weka chakula
na maji mbele yao, wapate kula
na kunywa, na kwenda kwa
bwana wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom