Usiri ajira TISS

Usiri ajira TISS

Ukiona afisa kipenyo yupo humu jukwaani uyo ni boss kajiendeleza kielemu baada ya kutumwa tumwa sana akamua arudie paper waliopo mtaani uko hata kuwasha computer hawajui sijui wanawatoa wapi yani dunia ipo nyuma yao zaidi ni kutumwa tumwa tu
Kabisa mkuu
 
Oneni walipofika wenzetu
IMG_20230222_202759.jpg
 
Ukiona afisa kipenyo yupo humu jukwaani uyo ni boss kajiendeleza kielemu baada ya kutumwa tumwa sana akamua arudie paper waliopo mtaani uko hata kuwasha computer hawajui sijui wanawatoa wapi yani dunia ipo nyuma yao zaidi ni kutumwa tumwa tu
 
wana njaa ni masikini na akili hawana, wengi wao wanaishi kwa kusubiri posho za kulinda mikutano ya chama
 
Watu wanaamini jamaa wana mawe saaaaana
Ni matapeli hao...

Kuna Mzee mmoja anaitwa Mkulo ni tapeli sana,kweli yuko TISS, anajuana na watu wa mahakama ukiingi kichwa kichwa anakutapeli

Atakuonesha bastola, gari kadi Ofisi ya Rais.
Jichanganye sasa.

Utasikia gari imepasuka Tairi naelekea kikosi kazi cha Rais, nikifika nakurudishia pesa, nitumie ninunue tairi. Ukituma ndo kwaheri
 
Kazi ipo.
Asilimia Mia,ni watoto was familia za WanaCCM.
Bahati nzuri nchi yetu ina amani hakuna vuruguvurugu za kivita,ila ni Nchi yenye raia waoga kiwango cha PhD.

Kiukweli,hao jamaa wenye ueled na kazi yao ni asilimia 30 tu.

CCM janga hakika,maswala ya kimsingi wao wanatanguliza siasa.

Ipo siku tutatafutana.Mfumo was elimu yetu bado mbovu.
 
Back
Top Bottom