Kupitia huo usiri ndio mnajazwa hofu na uongo mwingi huku CCM ikiendelea kuwakanyagia mbali.
Waliboresha act yao mwaka jana wanaharakati wakapigia kelele ile bill huku watanganyika wakiwa usingizini na kuwaachia wanaharakati wachache , leo hii ukiuliza wangapi wanajua nguvu kubwa waliyopewa hao watu kwa sasa sio rahisi kuelewa , Gen -Z wa Kenya wawaamshe watanzania umuhimu wa kufuatilia siasa.
Ile act imewapa nguvu kubwa zaidi kwa sasa maofisa hawatotajwa wakiwa katika kutimiza "majukumu" yao sasa hii njia ya 2025 mnaiona iko salama kwa watanganyika walio usingizi wa pono??