Usiri ajira TISS

Usiri ajira TISS

Hakuna kamati ya bunge inayofuatlia utendaji/inayofanya oversight TISS?
Labda tuanzishe kampeni: freeTiss

1.TISS iwe taasisi huru isiyofungamana na upande wowote....CCM ama upinzani,

2.Pawepo na sheria kali za kuzuia political institutions ( hadi rais) kuingilia TISS,
3. Wafanyakazi wa TISS wapewe kinga ya kuepuka kuwa persecuted na politicians hasa watawala
4.Pawepo na TUME ya kibunge iliyokula kiapo ya kufuatilia utendaji wa TISS..(Hii itafanyakazi kama tuna bunge la wananchi, sio la sasa)
5.Mkurugenzi mkuu wa TISS ateuliwe na Rais lakini apitishwe na Bunge

6.TISS isiwe idara chini ya ofisi ya Raisi au Ikulu:TISS iwe agency iliyoseparate kabisa..Inapokuwa idara Ikulu ni rahisi sana Rais (Mwanasiasa) kuigeuza ifanyekazi kwa mtazamo wake.

7.TISS ipewe nguvu za kuuma: Kukamata na kuweka maabusu maalumu za kwao zinazojulikana kisheria.

8.TISS isishughurike na kulinda maslahi ya watawala na kuhakikisha wanabaki madarakani, TISS ijikite katika kulinda maslahi ya TAIFA na wananchi wake wote bila kujali itikadi za kidini, kiuchumi n.k.

9.TISS itengeneze ikague na kuhakikisha mihimili mingine ya dola inatenda haki..na wawawajibishe ipasavyo wanaoenda kinyume: Mfano Polisi,Magereza

10.Madawa ya kulevya, Rushwa, Ufisadi viwe vitengo chini ya TISS. Kwa kuwa TISS itakuwa na access ya taarifa sahihi ni rahisi kushughurika na hayo masuala ambayo yanahatarisha usalama wa wananchi na Taifa.

11.Sheria ipitishwe na iwe kosa kudisclose member wa TISS kwa namna yoyote ile: Kama unamjua kaa kimya tu..tunza kifuani.

12.Members wa TISS wale kiapo kizito sana cha utii kwa Taifa na wananchi na waape kulinda KATIBA ya nchi.. kwa akili zao zote, utashi wao wote, uwezo wao wote etc....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nitauliza maswali kwa baadhi ya point zako mkuu.
2. TISS wanareport direct kwa Rais sasa kwa point yako watareport wapi?

5. Nini faida ya kupitishwa na bunge? Kwa sababu bado atatoa huduma ya kikazi kwa mkuu wake ambae ni Rais?

6.TISS ni usalama wa taifa, mtu wa kwanza kufahamu usalama wa taifa lake ni Rais, mbona hili ni rahisi tu kuelewa? Yaani wafanye kazi Rais asijue taifa lake lina usalama au halina?

7. Hiyo ni kazi ya polisi na vitengo vyake, kama watapewa TISS, polisi watakuwa na kazi gani? Hebu jaribu kujikumbusha kidogo kazi za usalama wa Taifa.

8. Usalama namba moja ni kuhakikisha boss wao yuko salama, and ni lini hiyo walihakikisha watawala wamebaki?kwa sababu mpaka now kila mtawala aliyepita hajaongeza hata sekunde kwenye utawala au lengo lako lilikuwa ni i mkuu?

Ni hayo tu mkuu natanguliza shukrani.
 
Akili ni kitu cha msingi sana, ubaya tunapima akili kwenye VYETI (Tunapima Kukariri) hatupimi flani ana nini cha ziada.

Ajira za TISS hatujui zinaendaje, but ikumbukwe kama Taaisis lazima itakuw na watu wenye Uwezo wa juu mpk wa Chini (Uwezo wa Akili) hakuna FLAT RATE.

Ushauri wangu, Serikali kwa ujumla itumie nguvu ktk recruitment process iangalie AKILI na sio uwezo wa KUKARIRI.

Iangalie flani ana nini cha ziada ambacho si cha kawaida.

Ktk watu kumi mmoja akiw yupo tofauti na wenzake huyo ndio wa kumuangalia, ana nini cha ziada.. Je ni KIRAKA?! Dunia ya Ujasusi inatak mtu KIRAKA. uwe na fani na ujuzi mwingiii , Nchi yetu haiangalii hili, itaangalia kitu kimoja na kufanya maamizi ya FLAT RATE...

HATUNA WELEDI
 
Labda tuanzishe kampeni: freeTiss

1.TISS iwe taasisi huru isiyofungamana na upande wowote....CCM ama upinzani,

2.Pawepo na sheria kali za kuzuia political institutions ( hadi rais) kuingilia TISS,
3. Wafanyakazi wa TISS wapewe kinga ya kuepuka kuwa persecuted na politicians hasa watawala
4.Pawepo na TUME ya kibunge iliyokula kiapo ya kufuatilia utendaji wa TISS..(Hii itafanyakazi kama tuna bunge la wananchi, sio la sasa)
5.Mkurugenzi mkuu wa TISS ateuliwe na Rais lakini apitishwe na Bunge

6.TISS isiwe idara chini ya ofisi ya Raisi au Ikulu:TISS iwe agency iliyoseparate kabisa..Inapokuwa idara Ikulu ni rahisi sana Rais (Mwanasiasa) kuigeuza ifanyekazi kwa mtazamo wake.

7.TISS ipewe nguvu za kuuma: Kukamata na kuweka maabusu maalumu za kwao zinazojulikana kisheria.

8.TISS isishughurike na kulinda maslahi ya watawala na kuhakikisha wanabaki madarakani, TISS ijikite katika kulinda maslahi ya TAIFA na wananchi wake wote bila kujali itikadi za kidini, kiuchumi n.k.

9.TISS itengeneze ikague na kuhakikisha mihimili mingine ya dola inatenda haki..na wawawajibishe ipasavyo wanaoenda kinyume: Mfano Polisi,Magereza

10.Madawa ya kulevya, Rushwa, Ufisadi viwe vitengo chini ya TISS. Kwa kuwa TISS itakuwa na access ya taarifa sahihi ni rahisi kushughurika na hayo masuala ambayo yanahatarisha usalama wa wananchi na Taifa.

11.Sheria ipitishwe na iwe kosa kudisclose member wa TISS kwa namna yoyote ile: Kama unamjua kaa kimya tu..tunza kifuani.

12.Members wa TISS wale kiapo kizito sana cha utii kwa Taifa na wananchi na waape kulinda KATIBA ya nchi.. kwa akili zao zote, utashi wao wote, uwezo wao wote etc....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Labda sio Tanzania hii.

TISS hutumika kwa manufaa ya CCM
 
Hii tabia watu wengi sana hata vilaza kabisa huwa wanayo, hiki sio kigezo au skill muhimu na ya kipekee kupewa kazi ya ujasusi.
Kuwa extrovert sio tiketi ya kazi/ajira ya ujasusi.
Amini kwamba.
 
Mkuu mimi huwa nina tabia ya kujichanganya sana na watu tofautitofauti na napata taarifa nyingi sana, kwani nina iwezo mkubwa sana wa kusikiliza na kupata taarifa nyingi hasa nikiwa nakula bia zangu
Kuna maisha marefu sana katika ujasusi baada ya kupata hizo taarifa je una uhakika unazo sifa za kuyaishi maisha hayo.?
 
Ajira ya kuchimba madini watu wako tayari kufa. Jeshi ni ajira na wanalipwa mishahara mizuri sana hasa Maafisa.
Nimefafanua hapo juu wanapewa malipo lakini ile siyo mishahara hata kama unaona ni mikubwa.

Hata vijana wa JKT kule kuna fedha wanapewa utaita ile ni mishahara?

Ni malipo wanapata lakini siyo mishahara sababu jeshi halitoi ajira.
Uchimbaji wa madini ile ni ajali hata dereva.

Lakini kwa mwanajeshi akifa kwenye mission au vitani unafikiri ile ni ajali ulinganishe na dereva au mchimbaji madini au engineer site?
 
Hii tabia watu wengi sana hata vilaza kabisa huwa wanayo, hiki sio kigezo au skill muhimu na ya kipekee kupewa kazi ya ujasusi.
Kuwa extrovert sio tiketi ya kazi/ajira ya ujasusi.
Mkuu mbona unanikatisha tamaa sana.
 
Kuna vitu vinafanywa usiri wakati hajikutakiwa kuwa vya siri, na usiri huu unaofanywa unakuta ni terget tu ya kuweka watu wao wanaowataka, na ndo maana tunapata watu wasio na weledi na wenye IQ ndogo sana kiutendaji yawezekana ni mkakati tu wa mtu. Kinachotakiwa watangaze nafasi za kazi watu waombe lakini mchakato wa kuwachukua waliokidhi vigezo ndo ufanyike kwa siri.
TULIKOPI NCHI ZA COMMUNIST hata CHINA system ni kama kwetu
 
Back
Top Bottom