Mpepetaji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 346
- 213
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilalamika kuibiwa pesa zao katika harakati za kutafuta ajira. Kutokana na uhaba wa ajira mtu anakuwa tayari kutoa chochote ili apate kazi jambo ambalo baazi ya wahuni mtandaoni wanachulia kama fursa ya kuibia watu.
Sasa ni jinsi ya Kubaini Tangazo la Kazi la Kitapeli?
1. Unaombwa kutuma pesa za usaili, mafunzo au fomu za ajira.
2. Taarifa ya kupata kazi bila kuomba au kutuma CV.
3. Kampuni haina tovuti rasmi au taarifa zake hazipatikani mtandaoni.
4. Barua pepe inatumia anwani za kawaida badala ya barua pepe rasmi ya kampuni.