King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,347
- 88,526
Teeth ya KONYO.
Teh tehTaasisi zote Tanzania zina Ofisi inayojulikana.
MI, TISS, PSU ndo Taasisi ambazo hazijulikani
Ila Bunju
Mbweni
Kinondoni
Makumbusho
Makongo
Huoni kama kada unakua unamjua kuliko kuokoteza mtu mtaani. Teknolojia yetu ya kuwamonitor watu iko chini compared to hao CIA. Wakiruhusu watu kuomba kazi na kufanyiwa usaili etc huoni kama usalama wa taifa utaweza kuwa compromised na watu wasio na nia njema. Bora shetani unaemjua kuliko malaika usiemjua. Anaweza akapandikizwa mtu huko akaja kuwa na influence ya ajabu akavuruga.Na hapo ccm ndo walipoharibu, kugeuza jambo zito kuwa ukada.
Teh...-Wenye nchi ni WA Tanzania wote
- TISS ndio engine ya nchi, kasome sheria ya Tiss utaelewa, hao ndio wenye taarifa zote za nchi, na ndio maana Hata CAG huwa hakagui TISS na Ikulu, làkini CAG anakagua hadi Jwtz na kutoa remarks as to whether kuna hati safi,chafu au yenye mashaka.
-
PumbaHuna connection huko tulia tu mzee waweke ndugu na mashemeji zao
Wabongo hawana hulka ya usiriKwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa?
Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba
Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?View attachment 2471149
Kwa Tanzania watu wengi wasio wakaza wamesajiliwa kama wakazi.Tulikuwa na imani na NIDA leo tunaambiwa watu watasajiriwa online baada ya kugongewa mihuri ya wanasheria.hili ni boko tutegemee wageni wengi kufoji na kuwa na namba za NIDA.TISS wapo tu hawana hata thinking ya kufikiria risk zilizopo.
Huoni kama kada unakua unamjua kuliko kuokoteza mtu mtaani. Teknolojia yetu ya kuwamonitor watu iko chini compared to hao CIA. Wakiruhusu watu kuomba kazi na kufanyiwa usaili etc huoni kama usalama wa taifa utaweza kuwa compromised na watu wasio na nia njema. Bora shetani unaemjua kuliko malaika usiemjua. Anaweza akapandikizwa mtu huko akaja kuwa na influence ya ajabu akavuruga.
Hadi leo marekani wanapambana na wasaliti ndani ya system. Kama hufatilii historia basi angalia angalia hata movie zao tu. Acha waweke hao makada na uvccm sijui watu wanaowajua kwasababu wanawajua uwezo wao, vetting inakua imefanyika haswa. Wanajua hadi kijiji ulichotoka. Cha msingi si nchi iko salama? Mi na wewe tuendelee kubanana kwenye kujitafuta kimaendeleo mengine tusitafute lawama.
Wivu utakuuaAkili za hovyo.
Wabongo hawana hulka ya usiri
Ikitangazwa akipat basi ataenda simulia
Ku recruit kisiri ni kusaidia ku spot wenye hulka fulani tu
Nawaza tuu
Kama wanaorithi wanaubora stahiki wacha iwe hivyo.Hata ikulu, wafanyakazi wake utaratibu mkubwa unaotumika kuwapata ni kurithishana.
Kama wanaorithi wanaubora stahiki wacha iwe hivyo.