Usiri ajira TISS

Usiri ajira TISS

Usalama taifa mnavyowachukulia mnawapaisha sana.

Hao hadi polisi wana hadhi ya juu kimamlaka, hao ni watumwa wa ikulu na rais aliyepo madarakani.

Ila kiutendaji wapo kila kona.

Wenye nchi yao ni hayo majamaa ya bakabaka ndiyo yaliyopewa nguvu ya ulinzi wa nchi.

Madogo wa usalama wanatishia sana raia wema.
Mkuu, siyo kweli kabisa. TISS ndo mambo yote kaka. Hiyo ndo roho ya nchi

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Rafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko.
Huwa nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe.
Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
Huyo siyo TISS, ni green guard hao. Enzi za mwendazake waliingizwa wengi sana. But ni vijana wa chama, japo nao walikuwa wanatisha watu ili waonekane ni usalama

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
hata chenji ya rada walishindwa kung'amua sikwambii utoroshwaji wa madini.kuna dhahabu ya tz ilikamatwa Kenya Kenyata akairudisha.mpaka najiuliza na wenyewe huwa wanahongeka ama wanapigwa chenga ya mwili!
 
😔 Karibu wote ni kichwani weupe, ajira karibu zote ni family & friends related na ukiwa pisi kali. Na wengi walevi tu. Tz tumelogwa the country has no competence kabisa. Wanapelekwa course wanaludi wapo empty kabisa. Disappointing
 
Kwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa?

Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba

Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?View attachment 2471149
Sasa na wewe ndo umechanganyikiwa, unalinganisha CIA na nini hicho bwashee

By the way, USA ni super power uhuru wake ni since 1776, bt kwenu hapa ni 1961, so kama kulinganisha anzia hapo
 
Watanzania waongo sana. Kila mtu anawajua TISS ki.vyake.


Tanzania hii, huwezi msikia mtu anasema neno "sijui" ni ivo tu, kamwe. We uliza tu utajibiwa, utapewa uhakika na vitjibitisho vyote. Na kila mtu atakupa ki.vyake.
Upo sawa
 
Karibu wote ni kichwani weupe, ajira karibu zote ni family & friends related na ukiwa pisi kali. Na wengi walevi tu. Tz tumelogwa the country has no competence kabisa. Wanapelekwa course wanaludi wapo empty kabisa. Disappointing
Hii pisi Kali naskiaga japo Toka nimezaliwa nimemwona mmoja tuuu yule wa mama Janet emb angalia wa mama Samia karibia wote tom boys sura za kazi.
 
Sasa na wewe ndo umechanganyikiwa, unalinganisha CIA na nini hicho bwashee

By the way, USA ni super power uhuru wake ni since 1776, bt kwenu hapa ni 1961, so kama kulinganisha anzia hapo
Sababu ya uhuru sio jambo
Je Britain na Us?
 
CIA kwa sasa wamesema wanajiwekeza kwenye research ML na AI

Watashirikiana na NSA kupita katika vyuo ili kudahili wanafunzi wataopenda fanya nao kazi.

Kazi zao zatangazwa

Huku kwetu uvccm.
Ndo maana hela zinatoroshwa na TISS ipo
 
UKuda tu kaka wala hakuna jipya, achana nao mzee bora tuongelee mfumuko wa bei.

Kiufupi hawana inshu wako overrated sana yaani
Hawako overrated isipokuwa nyie ndiyo munawa-overrate kwa kufuatilia sana mambo yao; halafu baada ya hapo munaanza kuwasingizia wao kuwa wanaji-overrate
 
Back
Top Bottom