Nani anakufahamu Yani uuwawe kipindi hichi Cha mama ambaye hataki hata mtu apewe kesiHaha ha ubabe wa kikaburi kaburi ni ujinga.
Watu wana ndugu tena ma RSO na DSO ila wanahangaika nao mpaka wanakaribia kustaafu bila bilaKama huna ndugu huko kuingia ni taab sana. Taab sana.
Ukajuaje yupo TISS? Tena Kwa proofNi matapeli hao...
Kuna Mzee mmoja anaitwa Mkulo ni tapeli sana,kweli yuko TISS, anajuana na watu wa mahakama ukiingi kichwa kichwa anakutapeli
Atakuonesha bastola, gari kadi Ofisi ya Rais.
Jichanganye sasa.
Utasikia gari imepasuka Tairi naelekea kikosi kazi cha Rais, nikifika nakurudishia pesa, nitumie ninunue tairi. Ukituma ndo kwaheri
Ha ha ha ha papaaa mukuubwaaa mutu ya kisawa sawa.Nani anakufahamu Yani uuwawe kipindi hichi Cha mama ambaye hataki hata mtu apewe kesi
Aise!!Rafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko.
Huwa nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe.
Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
Kipindi cha jk ndo tulipata makapi mengi, ukikaa baa unasikia unanijua mimi weye.Aise!!
Kabsa mkuu na vitisho vya kutoshaKipindi cha jk ndo tulipata makapi mengi, ukikaa baa unasikia unanijua mimi weye.
Toa nondoHa ha ha ha papaaa mukuubwaaa mutu ya kisawa sawa.
Kazi ya usalama wa taifa kisheria ni kukusanya,kuzichambua na kuzifikisha kunakohusika wenye mamlaka ya kuchukua hatua ni Rais wa inchi na Wala hawana uwezo wa kumshinikiza na hawana mamlaka ya kukamata Wala kushitaki kazi hiyo ni ya polisKinachonishangaza tu ni kwa nini Taifa linaibiwa mali na fedha za umma wakati mnasema wako kila mahali sasa usalama wao ni wa namna gani? Rasilimali na fedha za umma kila siku zinaibiwa.
Mkuu umesema pia kuwa wao hata CAG hagusi pua kukagua. Inawezekana kutomana na unyeti wake lakini sio kwamna hilo ndio chaka la ulaji wa Rais aliyeko madarakani?![]()
Bro vijana wanapiga kazi inchi hii.vilaza hata kwenye familia wapoZamani bwana, hii taasisi ilikuwa ya heshima na kujiheshimu, siasa ikaanza wakubwa wakaanza peleka watoto wao waliokataa shule, ilikuwa taasisi ya usiri mkubwa ikifanya kazi yake kwa uadilifu, leo kila mmoja anajitahidi umjue yeye ni usalama... yaani kimekuwa ka kigenge cha watafuna mirungi.
Njaa walikuomba chakulawana njaa ni masikini na akili hawana, wengi wao wanaishi kwa kusubiri posho za kulinda mikutano ya chama
Zamani Rrso au Dso walikuwa na uwezo wa kukuingiza huko ila now hawana uwezo huo tena ni mabosi wa HQ tuWatu wana ndugu tena ma RSO na DSO ila wanahangaika nao mpaka wanakaribia kustaafu bila bila
ushoga upo sana kwenye jamii zetu, tangu miaka ya 1980 kuna mashoga kibao hapo kariakooWabongo nyokko sana
Kwakuwa Wamarekani wanahalalisha ushoga basi inatulazimu nasi tuige
Mkinitukana Chawa wangu hawatawaacha...
Imeharibika japo bado vifaa vipo.Mkuu hiyo kazi imejaa Nepotism, Wanarithishana tu, Ukikaribia kustaafu unachomeka wanao wawili maisha yanaendelea. Ndio mana wana vichwa vibovu vitupu. Hata Chinga muuza magamba ya simu unaweza mkuta yuko bright kuliko wao.
Ni kweli ila kuna muda mfumo unamuhitaji mtu pasipo nepotism ila kwa manufaa yake huko kitengoni.Mkuu hiyo kazi imejaa Nepotism, Wanarithishana tu, Ukikaribia kustaafu unachomeka wanao wawili maisha yanaendelea. Ndio mana wana vichwa vibovu vitupu. Hata Chinga muuza magamba ya simu unaweza mkuta yuko bright kuliko wao.
Emb proof?Zamani Rrso au Dso walikuwa na uwezo wa kukuingiza huko ila now hawana uwezo huo tena ni mabosi wa HQ tu