Hakika. Ukifanya mchezo unaliwa helaNi sahihi, Ila kumpata mtu sahihi wa kumpa hiyo hela na ukafanikiwa ni tatizo
Hakika. Ukifanya mchezo unaliwa helaNi sahihi, Ila kumpata mtu sahihi wa kumpa hiyo hela na ukafanikiwa ni tatizo
The way CIA wanafanya kazi ni tofauti na TISS, kwa sera ya nchi na mahitaji yana tofautiana, CIA hawatangazi ajira za vitengo vyote, kuna vitengo nyeti ambavyo wanaenda jeshini ku select watu wao, au taasis fulani, so itategemea wanahitaj watu gani kwa wakati huoKwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa?
Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba
Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?View attachment 2471149
Kipindi fulan wakati nchi ina uhitaji, waliomo humo waliambiwa watafute watu kuongeza nguvu kazi, tena watu wa karibu. Ndio ikawa culture mpaka leo.Kuna jamaa fulani nilishangaa naye yumo, kisa baba yake yumo
Ni kweli ulichosema, Ila jina la Sheria hiyo ni Tanzania Intelligence and Security Service Act,Sheria za Tanzania zinasema kuwa mfanyakazi pekee wa TISS anayejulikana ni Mkurugenzi, wengine wote ni siri na hata kuwafunua majina yao ni kosa la jinai.
Tupe more history ni kweli wakiishiwa pesa wanafanya blackmailKuna tiss fulani walikua wanamfatilia jamaa fulani wamteke maana naona huwa wanapiga dili chafu pia. Dadeki jamaa akaenda kwa mtaalamu wakapigwa kipeperushi/sambaratishwa hawajawahi onekana tena.
Waganga wapo..!
Wanafanya sana..si ile title inawabeba kwa kuona watanzania ni waoga.Tupe more history ni kweli wakiishiwa pesa wanafanya blackmail
Huyo sangoma unampata mkoa gan?. Huyo aliyekuwa muhanga alikuwa rafiki yako sana sio. Ila lazima alikuwa na mawe kama sio alitembea na mke wa 1Wanafanya sana..si ile title inawabeba kwa kuona watanzania ni waoga.
Sasa wakataka kublakmail jamaa fulani akawaendea kwa kangambile konki mbona walipoteana...🤣
Kangambile wengine wakikuambia kesho huamki kweli huamki..sembuse kuwaonea huruma na kusambaratishwa
DuuhRafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko.
Huwa nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe.
Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
Hahahaa.......naona kama unanisanua mkuuUkiwa na kaunda suti pair mbili tayar wewe ni TISS
Hakuna Mganga dunia hii ni matapeli tuKuna tiss fulani walikua wanamfatilia jamaa fulani wamteke maana naona huwa wanapiga dili chafu pia. Dadeki jamaa akaenda kwa mtaalamu wakapigwa kipeperushi/sambaratishwa hawajawahi onekana tena.
Waganga wapo..!
Sijui kwanini na mimi nilikuwa nawaza kama wewe.Kuna vitu vinafanywa usiri wakati hajikutakiwa kuwa vya siri, na usiri huu unaofanywa unakuta ni terget tu ya kuweka watu wao
Kama mgeni vile na nchi yetu,mara nyingi wanapata ajira kwa vimemo,pia lazima uwe mwana sisiem.Kwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa?
Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba
Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?View attachment 2471149
Yap ni kweli..bado hujatembea bado. Wataalamu hawapatikani mjini chief. Ni ndani ndani huko sana unakutana hadi na wanyama wakali simba, tembo huko gari hazifiki 🤣🤣🤣Hakuna Mganga dunia hii ni matapeli tu
Working for Killers is a sure way of booking a place in HellKwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa?
Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba
Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?View attachment 2471149
Siku hizi Wanapeana kwa connection makada tuKwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa?
Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba
Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?View attachment 2471149