Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

Habari za mfungo wa ramadhani na kwaresma.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wasaa kwa kijana wa kiume kamwe usimbembeleze mwanamke anayekukataa. wanawake wengi wanakataa wanaume kuonyesha wao ni wa muhimu na si kitu kingine. kwanza fikiria huyo mwanamke akikubalia kitu gani unagain zaidi ya penzi Pili jiulize wewe unakataliwa je anawakatalia wote. Naeleza kisa hiki wiki hii tulikuwa tuna safari ya kikazi morogoro na rafiki yangu yeye kasoma SUA, kipindi anasoma SUA alikuwa na mahusiano na dada fulani wa kitaa, wiki iliyopita mwanzoni huyu dada alifiwa hivyo jamaa alimjulisha yule dada kuwa kaja moro atakuja kumpa pole ya msiba.

Siku ile jioni wakaja na mwenzake hotelini tulipofikia kupiga piga stori yule mwenzake alikuwa kaongozana na binti mzuri sana. nikamuomba jamaa yangu aongee na mwenzake anifanyie mpango kwa huyo dogo. Basi akamchekecha yule dogo (ndugu yake naye kaja msibani) akakubali tuonane kesho yake hasa usiku yule dogo kaenda kuoga nikawa napekua simu yake kusoma chatt za mwisho zinaingia kuna dogo mwenzie anabembeleza kishenzi , anahonga ila wapi lakini mdau nimekuja siku moja tu nimepewa hapo imenitoka 50 tu labda na msosi inafika 80 lakini huyo kijana anabembeleza sijui atakuja kupewa lini nimegundua wanawake wakatili sana, mwanamke ambaye hakupi penzi usimhudumie wala kumuonea huruma ukiwa mwema unaonekana mjinga. Mwanaume mwenzangu anahudumia ila kwa chatt zile hakuna anachoambulia.​

Nawasilisha.
Wewe kama unateswa na Malaya sema Tu.

Acha kutufundisha mambo ambayo tulishayakalia vikao vyake.
 
Sijui kwa nini nashindwa kuamini kuwa mhusika si huyo dogo bali ni wewe! Pole sana!!!
ushahidi bado upo kama una ulazima sana hata inbox nitakutumia screenshot
 
Possibly lkn pia hapana, wakati mwingine Ke anapenda kuona unaisumbukia.. apimishe anakubalika kwa kiasi gani, au ulitongoza kimasihara tu..
Mmh hii ni risk kwa mwanaume, mwishowe unatumiwa kadi ya mchango wa harusi na demu uliemfukuzia miaka 5 Depal
 
Niliwahi kulalamika humu kwamba hii mijitu yenye hela ndio inatuharibia wanawake.
Wanawake wengi wanapata viburi na kupandisha sana bei maana kuna mifala inahonga kama haina akili nzuri! Matokeo yake sisi wengine tunaonekana kama mambuzi tuu.

Ifike mahali wanaume wote tukubaliane kwamba kiwango cha juu kabisa cha kuhonga kisizidi 30,000 hata iweje, uone kama kuna mwanamke ataendela kupandisha mabega 🤨
Mnafikia hadi hatua ya kupangiana pesa ya kuhonga? Kweli mmeshikwa pabayaa.
😂😂😂😂😂
 
Duuh poleeeni sanaa. 😂😂😂😂
Ndio maana nimesema lazima tufikie mahali tuwe na bei elekezi.

Manake ukiangalia hamna chochote cha maana mnachotupa. Aftaroo tunaweza kujihudumia wenyewe kwa ubora wa hali ya juu kuliko huo wa kwenu.
Bado tena mtuwekee na bei juu, plus maringo, kuzungushwa.. hapana kwakweli. Inaf iz inaf
 
Sasa kwann msiji hudumie wenyewe, kuepusha hizi kero na malalamiko. Lol
 
Habari za mfungo wa ramadhani na kwaresma.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wasaa kwa kijana wa kiume kamwe usimbembeleze mwanamke anayekukataa. wanawake wengi wanakataa wanaume kuonyesha wao ni wa muhimu na si kitu kingine. kwanza fikiria huyo mwanamke akikubalia kitu gani unagain zaidi ya penzi Pili jiulize wewe unakataliwa je anawakatalia wote. Naeleza kisa hiki wiki hii tulikuwa tuna safari ya kikazi morogoro na rafiki yangu yeye kasoma SUA, kipindi anasoma SUA alikuwa na mahusiano na dada fulani wa kitaa, wiki iliyopita mwanzoni huyu dada alifiwa hivyo jamaa alimjulisha yule dada kuwa kaja moro atakuja kumpa pole ya msiba.

Siku ile jioni wakaja na mwenzake hotelini tulipofikia kupiga piga stori yule mwenzake alikuwa kaongozana na binti mzuri sana. nikamuomba jamaa yangu aongee na mwenzake anifanyie mpango kwa huyo dogo. Basi akamchekecha yule dogo (ndugu yake naye kaja msibani) akakubali tuonane kesho yake hasa usiku yule dogo kaenda kuoga nikawa napekua simu yake kusoma chatt za mwisho zinaingia kuna dogo mwenzie anabembeleza kishenzi , anahonga ila wapi lakini mdau nimekuja siku moja tu nimepewa hapo imenitoka 50 tu labda na msosi inafika 80 lakini huyo kijana anabembeleza sijui atakuja kupewa lini nimegundua wanawake wakatili sana, mwanamke ambaye hakupi penzi usimhudumie wala kumuonea huruma ukiwa mwema unaonekana mjinga. Mwanaume mwenzangu anahudumia ila kwa chatt zile hakuna anachoambulia.​

Nawasilisha.
Kwa masaa kazaa tu,Umejuaje kua hajamtoa marinda huyo Malaya,sasa anataka aendeleze gurudumu,la kupakua chemba?
 
Sasa kwann msiji hudumie wenyewe, kuepusha hizi kero na malalamiko. Lol
Wanaume tumeumbiwa huruma sana.. vitu vingi tunafanya kwa nia ya kuwasaidia tu msife njaa huku mjini. Cha ajabu nyie tena ndio wa kutuwekea nyodo
 
Kwa masaa kazaa tu,Umejuaje kua hajamtoa marinda huyo Malaya,sasa anataka aendeleze gurudumu,la kupakua chemba?
angalia conversation hii ninayokumbuka nimeongeza baadhi ya maneno kuweka mtiririko mzuri ila context ni ile ile.

Mshikaji : mtu akitaka kukupa zawadi eid hii unapenda akupe zawadi gani.
Demu: anipe zawadi kama nani labda.
Mshikaji: rafiki au mpenzi
Demu: sina mpenzi na siwezi mchaghulia rafiki zawadi ya kunipa zawadi ni zawadi.
Mshikaji : ukiwa na shida unaniomba msaada kama dear ukiwa hauna shida rafiki haina noma.
Demu: mbona hela uliyonitumia mwezi huu hata 35k haifiki ndio msaada gani nimeomba.
Mshikaji : Kipindi unaenda jifunza kuogelea zile nguo alikununualia nani na hela ya topup simu alikupa nani.
Demu: kumbe basi sitakuomba unisaidie tena.
Mshikaji : wewe uliniahidi kabla ya ramadhni tungeonana hatimae ramadhani iemfika unanizungusha tu.
Demu: nilisema ukitoka safari yako dubai tutaonana bado haujaenda.
Mshikaji: Kwaiyo mpaka niende dubai nirudi ndio tuonane.
 
Jama anafeli sana,huyo dada ni Malaya hafai kubembelezwa,ndio maana wewe ulimpata ndani ya 24 hrs
 
Utaratibu ni uleule, kiwango cha usumbufu, ndio kiwango cha mateso
 
Jama anafeli sana,huyo dada ni Malaya hafai kubembelezwa,ndio maana wewe ulimpata ndani ya 24 hrs
ndio mana nasema usiwe mwema kwa mwanamke anayekuzungusha kuna wadau wanapiga kirahisi tu.
 
Back
Top Bottom