Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

Unabembeleza kwa sababu zipi, upewe kipapa au unataka mfanye maisha?

Vyote vina athari, mtu hayupo tayari kufanya na wewe maisha, usimbembeleze, atakusumbua sana baadae.

Unataka kula na kunawa, bembeleza kiasi, ukiona anakubana kula kona, when doing that, hakikisha wallet yako imefungwa zipu.
 
Mwanamke akikukataa jua hajanusa harufu ya pesa ya kiwango chake
Niliwahi kulalamika humu kwamba hii mijitu yenye hela ndio inatuharibia wanawake.
Wanawake wengi wanapata viburi na kupandisha sana bei maana kuna mifala inahonga kama haina akili nzuri! Matokeo yake sisi wengine tunaonekana kama mambuzi tuu.

Ifike mahali wanaume wote tukubaliane kwamba kiwango cha juu kabisa cha kuhonga kisizidi 30,000 hata iweje, uone kama kuna mwanamke ataendela kupandisha mabega 🤨
 
Unabembeleza kwa sababu zipi, upewe kipapa au unataka mfanye maisha?

Vyote vina athari, mtu hayupo tayari kufanya na wewe maisha, usimbembeleze, atakusumbua sana baadae.

Unataka kula na kunawa, bembeleza kiasi, ukiona anakobana kula kona, when doing that, hakikisha wallet yako imefungwa zipu.
Kaka naenda kuprint hii comment, copy zake ntagawa kesho misa ya vijana ikiisha ntakuwa mlangoni.
 
Niliwahi kulalamika humu kwamba hii mijitu yenye hela ndio inatuharibia wanawake.
Wanawake wengi wanapata viburi na kupandisha sana bei maana kuna mifala inahonga kama haina akili nzuri! Matokeo yake sisi wengine tunaonekana kama mambuzi tuu.

Ifike mahali wanaume wote tukubaliane kwamba kiwango cha juu kabisa cha kuhonga kisizidi 30,000 hata iweje, uone kama kuna mwanamke ataendela kupandisha mabega 🤨
Sikuungi mkono mkuu. Unachokilalamikia ndio kinachotupa hasira na kutu push tupambanie ndoto zetu, nasi siku moja tule mema ya nchi
 
Niliwahi kulalamika humu kwamba hii mijitu yenye hela ndio inatuharibia wanawake.
Wanawake wengi wanapata viburi na kupandisha sana bei maana kuna mifala inahonga kama haina akili nzuri! Matokeo yake sisi wengine tunaonekana kama mambuzi tuu.

Ifike mahali wanaume wote tukubaliane kwamba kiwango cha juu kabisa cha kuhonga kisizidi 30,000 hata iweje, uone kama kuna mwanamke ataendela kupandisha mabega 🤨
Mwamba umenena sana acha tuendelee kula pisi Beki tatu na wasaidizi wa mama Ntilie
 
Back
Top Bottom