TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,735
- 20,776
Hapo maana yake ni kwamba, nyie mnapambania ndoto zenu ili mje mhonge ghali kuliko waliopo sasa! Sasa hapo ndio mnaharibu zaidi maana bei inazidi kwenda juu na mwanamke ndio anazidi kunufaika na kuongeza maringo😀😀Sikuingi mkono mkuu. Unachokilalamikia ndio kinachotupa hasira na kutu push tupambanie ndoto zetu, nasi siku moja tule mema ya nchi
Ilitakiwa wote tukubaliane kuwa na bei elekezi ili wote tufaidi sio nyie wenye hela mfaidi peke yenu.