Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,706
- 19,655
jamni mbona tunawakataa tu ambao hawana hela
jamni mbona tunawakataa tu ambao hawana hela
Na mnapenda kweli mkilipata liboya lahivyo mnalikomeshaje 😂Raha sana kusumbua sumbua li mtu, hamjui tu.. 😀
Jirani umenifanya nipaliwe na futari kwa kucheka 😂Kuna mwenzie mmoja alikuta dem kavaa shanga, akamuuliza “Aiseee!! Hizi rozali zote umeiba parokia gani?” 😹😹😹
Kawadanganye wanaosinzia😉jamni mbona tunawakataa tu ambao hawana hela😹
Ama ?!
ukiona kalegeza kamba jua huko wamezinguana na mtu wakeUsichoke kubembeleza, mbele anaweza kulegeza kamba..
Hatuangalii sura kabisa😒Kawadanganye wanaosinzia😉
Sawa😄😄Hatuangalii sura kabisa😒
Waoneni?Hatuangalii sura
Jamaa kaongea fact kifupi hata mwanamke tangu enzi na enzi hawapendi mwanaume anaebembelezaNitambembeleza na kumhudumia , ili mradi ninajua atanipa kitu gani kitafanya nifurahi, usinipangie meku.
Njoo kwangu sasaHatuangalii sura kabisa😒
Mfuko tu 🥲Waoneni?
Njoo kwangu chapu kipeeMfuko tu 🥲