Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,124
- 114,170
Kwa wanaume?Sura
( Sura ndo reception kabisa)
Kwa wanaume?Sura
( Sura ndo reception kabisa)
Jirani huyo mangi itakuwa yupo ndani ya penzi jipya lishampofua 😂Mangi ushaonja mbege?? 😹😹
MfukoKwa wanaume?
HA ha ha hivyohivyo vinatosha mkuu,acha ubahiliKutoa ushirikiano hawataki ila kuhudumiwa wanataka, huo ujinga siwezi kufanya.
Huna interest na mimi usiwe interested pia na visenti vyangu, kwanza kwa visenti gani nilivyonavyo 😅
Sasa mfuko unakaa usoniMfuko
Mimi sio bahili ila nazingatia matumizi yenye faida.HA ha ha hivyohivyo vinatosha mkuu,acha ubahili
😹😹😹 Acha kuwafundisha wenzio tabia mbaya mkuu..!!Niliwahi kulalamika humu kwamba hii mijitu yenye hela ndio inatuharibia wanawake.
Wanawake wengi wanapata viburi na kupandisha sana bei maana kuna mifala inahonga kama haina akili nzuri! Matokeo yake sisi wengine tunaonekana kama mambuzi tuu.
Ifike mahali wanaume wote tukubaliane kwamba kiwango cha juu kabisa cha kuhonga kisizidi 30,000 hata iweje, uone kama kuna mwanamke ataendela kupandisha mabega 🤨
Muache Mangi abembeleze kitu kinachomeza mwenzake 😹😹🤣Jirani huyo mangi itakuwa yupo ndani ya penzi jipya lishampofua 😂
Nitambembeleza na kumhudumia , ili mradi ninajua atanipa kitu gani kitafanya nifurahi, usinipangie meku.
🤣🤣🤣🤣Sasa mfuko unakaa usoni
Na ukipewa utelezi unazingatia matumizi??Mimi sio bahili ila nazingatia matumizi yenye faida.
Hata hapa JF elfu 30 ndicho kiwango kilichopendekezwa na kupitishwa na wadau wa uzi wa Selfika kipindi kile uzi umewaka moto. Ubaya watu wengine huwa hawahudhurii vikao 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Ifike mahali wanaume wote tukubaliane kwamba kiwango cha juu kabisa cha kuhonga kisizidi 30,000 hata iweje, uone kama kuna mwanamke ataendela kupandisha mabega 🤨
Mno yani kwani kuna ujinga nimefanya .. ?coz sioni mbele arifu😁Mangi ushaonja mbege?? 😹😹
Usipokuwa mjanja mjanja fresh ila ukitaka kutembelea upepo napotea kusikojulikana.Na ukipewa utelezi unazingatia matumizi??
TotoHata hapa JF hicho ndicho kiwango kilichopendekezwa na kupitishwa na wadau wa uzi wa Selfika kipindi kile uzi umewaka moto. Ubaya watu wengine huwa hawahudhurii vikao 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 3279866
Sawa boss🤣🤣🤣🤣
Mfuko si ndo reception ya mwanaume au?!
Tunaopenda kubembelezwa sasa
😂 alifinyiwaMuache Mangi abembeleze kitu kinachomeza mwenzake 😹😹🤣