shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
Habari za mfungo wa ramadhani na kwaresma.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wasaa kwa kijana wa kiume kamwe usimbembeleze mwanamke anayekukataa. wanawake wengi wanakataa wanaume kuonyesha wao ni wa muhimu na si kitu kingine. kwanza fikiria huyo mwanamke akikubalia kitu gani unagain zaidi ya penzi Pili jiulize wewe unakataliwa je anawakatalia wote. Naeleza kisa hiki wiki hii tulikuwa tuna safari ya kikazi morogoro na rafiki yangu yeye kasoma SUA, kipindi anasoma SUA alikuwa na mahusiano na dada fulani wa kitaa, wiki iliyopita mwanzoni huyu dada alifiwa hivyo jamaa alimjulisha yule dada kuwa kaja moro atakuja kumpa pole ya msiba.
Siku ile jioni wakaja na mwenzake hotelini tulipofikia kupiga piga stori yule mwenzake alikuwa kaongozana na binti mzuri sana. nikamuomba jamaa yangu aongee na mwenzake anifanyie mpango kwa huyo dogo. Basi akamchekecha yule dogo (ndugu yake naye kaja msibani) akakubali tuonane kesho yake hasa usiku yule dogo kaenda kuoga nikawa napekua simu yake kusoma chatt za mwisho zinaingia kuna dogo mwenzie anabembeleza kishenzi , anahonga ila wapi lakini mdau nimekuja siku moja tu nimepewa hapo imenitoka 50 tu labda na msosi inafika 80 lakini huyo kijana anabembeleza sijui atakuja kupewa lini nimegundua wanawake wakatili sana, mwanamke ambaye hakupi penzi usimhudumie wala kumuonea huruma ukiwa mwema unaonekana mjinga. Mwanaume mwenzangu anahudumia ila kwa chatt zile hakuna anachoambulia.
Nawasilisha.