Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

Hata hapa JF hicho ndicho kiwango kilichopendekezwa na kupitishwa na wadau wa uzi wa Selfika kipindi kile uzi umewaka moto. Ubaya watu wengine huwa hawahudhurii vikao 😂😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 3279866
Baada ya mimi kuupata uraisi wa wanaume bahili, nime shusha hiyo pesa hadi 10k😂😆
 
Unajua kiuhalisia hamna cha maana ambacho wanawake hua wanatupa. Sasa mi hua nashangaa lijitu linahonga malaki, mara linahonga iphone, mara gari, mpaka nyumba miwatu inahonga! Sasa unajiuliza hivi huyu mtu ana akili kweli? Wakati apo unakuta huyo huyo demu kuna mhuni anapiga bure kabisa tena hela anapewa yeye.
 
Niliwahi kulalamika humu kwamba hii mijitu yenye hela ndio inatuharibia wanawake.
Wanawake wengi wanapata viburi na kupandisha sana bei maana kuna mifala inahonga kama haina akili nzuri! Matokeo yake sisi wengine tunaonekana kama mambuzi tuu.

Ifike mahali wanaume wote tukubaliane kwamba kiwango cha juu kabisa cha kuhonga kisizidi 30,000 hata iweje, uone kama kuna mwanamke ataendela kupandisha mabega 🤨
Eti Mr. Mbuzi, hiyo 30,000 ni weekly or daily?
Kama ni monthly mtafuteni Drone Drake awaonyeshe wapi ananunuaga baby care products 😂😂
 
Habari za mfungo wa ramadhani na kwaresma.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wasaa kwa kijana wa kiume kamwe usimbembeleze mwanamke anayekukataa. wanawake wengi wanakataa wanaume kuonyesha wao ni wa muhimu na si kitu kingine. kwanza fikiria huyo mwanamke akikubalia kitu gani unagain zaidi ya penzi Pili jiulize wewe unakataliwa je anawakatalia wote. Naeleza kisa hiki wiki hii tulikuwa tuna safari ya kikazi morogoro na rafiki yangu yeye kasoma SUA, kipindi anasoma SUA alikuwa na mahusiano na dada fulani wa kitaa, wiki iliyopita mwanzoni huyu dada alifiwa hivyo jamaa alimjulisha yule dada kuwa kaja moro atakuja kumpa pole ya msiba.

Siku ile jioni wakaja na mwenzake hotelini tulipofikia kupiga piga stori yule mwenzake alikuwa kaongozana na binti mzuri sana. nikamuomba jamaa yangu aongee na mwenzake anifanyie mpango kwa huyo dogo. Basi akamchekecha yule dogo (ndugu yake naye kaja msibani) akakubali tuonane kesho yake hasa usiku yule dogo kaenda kuoga nikawa napekua simu yake kusoma chatt za mwisho zinaingia kuna dogo mwenzie anabembeleza kishenzi , anahonga ila wapi lakini mdau nimekuja siku moja tu nimepewa hapo imenitoka 50 tu labda na msosi inafika 80 lakini huyo kijana anabembeleza sijui atakuja kupewa lini nimegundua wanawake wakatili sana, mwanamke ambaye hakupi penzi usimhudumie wala kumuonea huruma ukiwa mwema unaonekana mjinga. Mwanaume mwenzangu anahudumia ila kwa chatt zile hakuna anachoambulia.​

Nawasilisha.
Sijui kwa nini nashindwa kuamini kuwa mhusika si huyo dogo bali ni wewe! Pole sana!!!
 
Eti Mr. Mbuzi, hiyo 30,000 ni weekly or daily?
Kama ni monthly mtafuteni Drone Drake awaonyeshe wapi ananunuaga baby care products 😂😂
Nyie ngojeni tuu.. kaeni mkijua wanaume tukiamua kumuunga mkono dronedrake baasi wanawake mtakufa njaa humu manake hata hiyo 30k hamtaipata 😀 naomba mkae kwa adabu msituchefue maana babycare ni 3500 tu na mche mzima wa Jamaa ni 3000😄.
 
You have talked on my behalf! Na ungecheza angekunyanyasa sana. Mambo ya kishamba kabisa!.
bro she acted like she was doing me a favor, wakati ni yeye hadi ali dance na ku cook for me!.

I felt like she was the one, the time my mom told me mkwe wangu yuko wapi nili taka mpeleka yeye.
but she missed that chance.
 
Back
Top Bottom