Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

wali rent kwangu, we were Ile favorite couple to be, wanted to go out na yeye ila aka jishaua.

and mimi sio a beggar, I moved on coz kichwa kina mengi ya kufikiri.
(Hapa nasikiliza mahaba ya kiba😆😂).
Ah unajikuta maskini jeuri, suala la kubembeleza we hizo sio vitu ‘zako’ 😀😀 wee utakuja kuchelewa kupata wa kwenda nae Madhabahuni
 
Nyie ngojeni tuu.. kaeni mkijua wanaume tukiamua kumuunga mkono dronedrake baasi wanawake mtakufa njaa humu manake hata hiyo 30k hamtaipata 😀 naomba mkae kwa adabu msituchefue maana babycare ni 3500 tu na mche mzima wa Jamaa ni 3000😄.
😂😂 si ifike mahali kila mtu abaki na chake mazee?
 
Ah unajikuta maskini jeuri, suala la kubembeleza we hizo sio vitu ‘zako’ 😀😀 wee utakuja kuchelewa kupata wa kwenda nae Madhabahuni
nabembeleza Sana tu, nasikiliza na kuongea pale palipo sahihi na mtu sahihi.

ILa usi nifanye niwe Kama sina option bhana.
 
😂😂 si ifike mahali kila mtu abaki na chake mazee?
We unadhani tukiamua kubaki na hela zetu nyie mtaishije hapa mjini? Sisi tunafanya kuwasaidia tuu msituone kama tuna shida saaana 😀
 
Umetupiga. Ukiona dem anaangali sura ujue kiwango cha pesa yako pekee kimeshindwa kumshawishi, hivyo anaangalia sababu nyingine kama kifungashio
Zingatia neno kifungashio.. sasa hata hicho huna wanini sasa wanini mimi
 
Zingatia neno kifungashio.. sasa hata hicho huna wanini sasa wanini mimi
Bidhaa muitayo ni pesa, sura kifungashio tu, huna ubavu wa kuacha bidhaa kisa muuzaji hana kifungashio. Azizi asingepata mke
 
Bidhaa muitayo ni pesa, sura kifungashio tu, huna ubavu wa kuacha bidhaa kisa muuzaji hana kifungashio. Azizi asingepata mke
Sasa kama hana pesa awe na kifungashio kama hana vyote akwendee
 
Habari za mfungo wa ramadhani na kwaresma.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wasaa kwa kijana wa kiume kamwe usimbembeleze mwanamke anayekukataa. wanawake wengi wanakataa wanaume kuonyesha wao ni wa muhimu na si kitu kingine. kwanza fikiria huyo mwanamke akikubalia kitu gani unagain zaidi ya penzi Pili jiulize wewe unakataliwa je anawakatalia wote. Naeleza kisa hiki wiki hii tulikuwa tuna safari ya kikazi morogoro na rafiki yangu yeye kasoma SUA, kipindi anasoma SUA alikuwa na mahusiano na dada fulani wa kitaa, wiki iliyopita mwanzoni huyu dada alifiwa hivyo jamaa alimjulisha yule dada kuwa kaja moro atakuja kumpa pole ya msiba.

Siku ile jioni wakaja na mwenzake hotelini tulipofikia kupiga piga stori yule mwenzake alikuwa kaongozana na binti mzuri sana. nikamuomba jamaa yangu aongee na mwenzake anifanyie mpango kwa huyo dogo. Basi akamchekecha yule dogo (ndugu yake naye kaja msibani) akakubali tuonane kesho yake hasa usiku yule dogo kaenda kuoga nikawa napekua simu yake kusoma chatt za mwisho zinaingia kuna dogo mwenzie anabembeleza kishenzi , anahonga ila wapi lakini mdau nimekuja siku moja tu nimepewa hapo imenitoka 50 tu labda na msosi inafika 80 lakini huyo kijana anabembeleza sijui atakuja kupewa lini nimegundua wanawake wakatili sana, mwanamke ambaye hakupi penzi usimhudumie wala kumuonea huruma ukiwa mwema unaonekana mjinga. Mwanaume mwenzangu anahudumia ila kwa chatt zile hakuna anachoambulia.​

Nawasilisha.
saa zingine kukataliwa na kuhudumia bila kupata kitu inakupa experience,
nawe unakua miongoni mwa wenye experience ya kunyimwa 🐒
 
Haipendezi unapenda hela ya Mwanaume halafu yeye humpendi. Wanasema ukipenda boga, penda na ua lake.

Mabinti wasipende hela mtu wakati huo huo unamnyima mzigo

Siku akikuweka kwenye sita Kwa sita lazima utaitapika hela yake

Otherwise ubahatishe awe Mzee kama Mimi
 
Back
Top Bottom