Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

Niliwahi kulalamika humu kwamba hii mijitu yenye hela ndio inatuharibia wanawake.
Wanawake wengi wanapata viburi na kupandisha sana bei maana kuna mifala inahonga kama haina akili nzuri! Matokeo yake sisi wengine tunaonekana kama mambuzi tuu.

Ifike mahali wanaume wote tukubaliane kwamba kiwango cha juu kabisa cha kuhonga kisizidi 30,000 hata iweje, uone kama kuna mwanamke ataendela kupandisha mabega 🤨
Mimi Kama raisi wa Chama Cha wanaume bahili, nakupa onyo kuwa kiwango Cha kuhonga mwisho ni elfu 10.
 
Unabembeleza kwa sababu zipi, upewe kipapa au unataka mfanye maisha?

Vyote vina athari, mtu hayupo tayari kufanya na wewe maisha, usimbembeleze, atakusumbua sana baadae.

Unataka kula na kunawa, bembeleza kiasi, ukiona anakubana kula kona, when doing that, hakikisha wallet yako imefungwa zipu.
kuna mtu ali onyesha interest kwangu, nami nika onyesha we are cool.

baadae si aka Anza kuji fanya hard to get, bro nili potea na huwa ana shangaa why nili mpotezea.
 
Unabembeleza kwa sababu zipi, upewe kipapa au unataka mfanye maisha?

Vyote vina athari, mtu hayupo tayari kufanya na wewe maisha, usimbembeleze, atakusumbua sana baadae.

Unataka kula na kunawa, bembeleza kiasi, ukiona anakubana kula kona, when doing that, hakikisha wallet yako imefungwa zipu.
Bro hii comment naisoma huku nakunywa redbull😂😆.
 
Usiogope kukataliwa.. we tupia tu, anaweza kuanza kutamani komwe lako tu, kisha as time goes anakupenda na wewe mzima mzima.
wali rent kwangu, we were Ile favorite couple to be, wanted to go out na yeye ila aka jishaua.

and mimi sio a beggar, I moved on coz kichwa kina mengi ya kufikiri.
(Hapa nasikiliza mahaba ya kiba😆😂).
 
Back
Top Bottom