Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

Daah.....
Tena akanitamkia kabisa nimeshampata mwengine ww naona uko bize tu na kutafuta pesaa hahaha nilifkiri masihara ujue
Tafuta pesa mkuu .
Usiwekeze akili yako kwenye mbunye.
Zipo tu.
Ukiwa na pesa unachagua unayemtaka.
Hawa wenyewe hawajielewi wanataka Nini!?
 
Hahah... tatizo mazoea mkuu, mazoea mabaya sana ujue

Kuna kamchezo alinizoesha ka kunipiga romance... hahah demu alikuwa anapenda french kiss yulee daaah nikikumbuka tu naumia balaa
Lips nyingi baba..pussy za kumwaga utampata tuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema ukitaka kama yule ndo utakapofail..
 
Pole sana mkuu watu kama wewe huwa wanagongewa sana wake zao mana wanakuwa bize sana usijione upo peke yako hii meseji iwafikie wote wale ambao wapo bize uku wakiwaacha wake zao wajue wake zao wanachezea mitalimbo na wauni fulani
 
Duh
 
Lips nyingi baba..pussy za kumwaga utampata tuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema ukitaka kama yule ndo utakapofail..
Mwenyewe alikuwa anadai anazipenda sana lips zangu, kila akiniona anatamani romance hahahahah
 
Mkuu sidhani kama kwangu mm kutafuta pesa kuna ugumu kama kumtafuta mwanamke alie sahihi...
Vyanzo vya mapato viko vingi sana na kila siku vinaibuka vipya ishu ni ww tu kujichanganya...

Tatizo kumpata mwenza wa maisha aloe sahihi.. hapa tu ndo kuna balaa
Aliye sahihi ni mwelewa yani namaanisha akuelewe wewe na kile unachofanya..kama kashidwa kukuelewa na kaamua kuondoka huyo hakua mtu sahihi kwako, Piga kazi utapata mtu anayethamini juhudi zako kutafuta pesa.
 
Shukrani mkuu
Ur welcom! Mi nafikiri mtu sahihi ni yule anaye kupush ufanye makubwa zaidi na anaye sacrifice matamanio yake ili mtengeneze future nzuri, na sio yule anaye kudistract kwenye mambo yako. Kama ki2 kidogo kama hicho kashidwa kuvumilia makubwa ataweza kweli.
 
Tukiamua kufunga moyo huwa tufafunga jumla jumla
Tunavyowapenda huwa mnatuona wajinga
Habari wakuu

Twende kwenye mada.

Kama ww ni me uko na mpenzi wako na anaonyesha mapenzi yote kwako, anakujali, anakupenda yaani ile kwelikweli..., nakusisitiza rudisha upendo kwake na muoneshe kumjali kama anavyokujali.

Mwanamke anaweza akawa anakutumia text hauzijibu, anakupigia unapuuzia kupokea na pengine huoneshi upendo kwake, unajali kazi tu na kutafuta pesa, my dear huyo mwanamke siku akija kubadilika akaamua kutazama pembeni ndugu yangu huwa ni ngumu sana kumfanya arejee... it is very hard thing.

Mwanamke akiamua kupenda anawekeza kila kitu, hisia, maisha yake na cha muhimu kingine anachowekeza ni muda wake pia..., ni vizuri kama una malengo nae ukamuonesha upendo pia.

Daah inauma..

Yaani nilikuwa najifanya niko bize na kazi, simu zako sipokei si asubuhi, sio mchana usiku ndo kabisaa nakuwa nimechoka balaa nikifika home naishia kulala hoiiiii... ila sijilaumu ni nature ya kazi yangu. asubuhi nakuta ulinitafuta jana yake daah naishia kukupigia tunaongea dk 2 then napotea daaaah siamini kumbe ndo nilikuwa nakupoteza.

Nilijiamini kwamba hutoweza kuniacha kwa jinsi nilivyokuwa nakujali, niliamini vile vizawadi nilivyokuwa nakuletea siku mojamoja visingekufanya ubadili mawazo...

Ilianza kama utani inapita siku mbili mara tatu mara wiki bila kunitafuta mmh nafsi ikaguna maana nilizoea kuona missed calls zako. Yaani siamini leo hii mm ndo nakutafuta hata simu yangu hupokei daah hata text hujibu duuh.

Sasa ndo nimeelewa communication ni kiungo muhimu sana kwenye relationship.

Leo yapata miezi miwili ndo nimeamini rasmi umeniacha duh.

Wakuu mapenzi sio pesa namaanisha mapenzi ya kweli sio pesa, ukiwa na mwanamke anaekupenda kweli pesa inakuwa haina thamani yoyote.
 
Kweli..hakuna aliye busy
Ni swala ya kipaumbele tu

Mtu Hana muda wa kukutafuta unavumilia ,ila ukiondoka yaani Ni mazima..huwaga haturudi nyuma tena
Wanawake wakisema imetosha imetoka hiyoo...!! lakini wewe kazi yako aisee ni muhimu kuliko mapenzi sema na wewe Ubize gani hata Msg moja unashindwa kutumaa au usalama???au sema tu ulinogewa na kwinginee bro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NO BODY IS BUSY IS A MATTER OF PRIORITY...
 
mwanamke unayempenda,,,uliemchagua awe wako......ni sehemu ya uwekezaji kwa mwanaume....na unapowekeza lazima jicho lako liwe huko....pole blaza......
 
Wakati anakubali kuwa na wewe hakujua kwamba una kazi ya kukukeep busy kiasi hicho?.Kama ndio,je alikupa ushauri wowote juu ya muda wako na yeye katika mazingira hayo ya ubize?

Back
Top Bottom