Mkuu hata ile asubuhi unaenda kazini njiani kumtxt huwezi??? Ukiwa unarudi je?? sitaki kuamini kuwa muda wote unafikiria kazi.. Mwanaume yeyote ambae hawezi kumuacha mwanamke kwa kumuambia bhasi Nipo busy nitakutafua ndo njia rahisi.. Ila ukiwa na demu unamkubalii weee[emoji23][emoji23][emoji23] Utaibia hata kamuda ka lunch umtxt kiaina tuu..Mkuu tafuta mtu anaefanya kazi project za construction ndo utaelewa ninachokizungumza..
Yaani kule muda na concentration ni muhimu kuliko unavyofkiria
Hahah upole na ustaarabu umepima na kifaa gani, wakati hata muda wa kuwa nae huna, upole na ustaarab hyo ni mada nyingine😂Daah ila huyu nilimzoea sanaa, daah mtoto wa watu alikuwa mpole na mtaratibu sanaa..
Yaani ni ile aina ya wanawake watulivu sanaa na kichwani zimo.
Sijui kama nitakuja kumpata kama yeye
Pole mkuu. Inauma unamtumia txt mtu imefika na hajibu. Bora alijiongeza hata mimi siwezi vumilia.Habari wakuu
Twende kwenye mada.
Kama ww ni me uko na mpenzi wako na anaonyesha mapenzi yote kwako, anakujali, anakupenda yaani ile kwelikweli..., nakusisitiza rudisha upendo kwake na muoneshe kumjali kama anavyokujali.
Mwanamke anaweza akawa anakutumia text hauzijibu, anakupigia unapuuzia kupokea na pengine huoneshi upendo kwake, unajali kazi tu na kutafuta pesa, my dear huyo mwanamke siku akija kubadilika akaamua kutazama pembeni ndugu yangu huwa ni ngumu sana kumfanya arejee... it is very hard thing.
Mwanamke akiamua kupenda anawekeza kila kitu, hisia, maisha yake na cha muhimu kingine anachowekeza ni muda wake pia..., ni vizuri kama una malengo nae ukamuonesha upendo pia.
Daah inauma..
Yaani nilikuwa najifanya niko bize na kazi, simu zako sipokei si asubuhi, sio mchana usiku ndo kabisaa nakuwa nimechoka balaa nikifika home naishia kulala hoiiiii... ila sijilaumu ni nature ya kazi yangu. asubuhi nakuta ulinitafuta jana yake daah naishia kukupigia tunaongea dk 2 then napotea daaaah siamini kumbe ndo nilikuwa nakupoteza.
Nilijiamini kwamba hutoweza kuniacha kwa jinsi nilivyokuwa nakujali, niliamini vile vizawadi nilivyokuwa nakuletea siku mojamoja visingekufanya ubadili mawazo...
Ilianza kama utani inapita siku mbili mara tatu mara wiki bila kunitafuta mmh nafsi ikaguna maana nilizoea kuona missed calls zako. Yaani siamini leo hii mm ndo nakutafuta hata simu yangu hupokei daah hata text hujibu duuh.
Sasa ndo nimeelewa communication ni kiungo muhimu sana kwenye relationship.
Leo yapata miezi miwili ndo nimeamini rasmi umeniacha duh.
Wakuu mapenzi sio pesa namaanisha mapenzi ya kweli sio pesa, ukiwa na mwanamke anaekupenda kweli pesa inakuwa haina thamani yoyote.
Eehe kama yeye ndo anataka Kuchat kila muda muache aendee..!! Hizo kazi za watoto wa sekondary au angekuwa na kazi nae angeelewa lakini anashinda nyumbani duuh changamotooKama kumtext ilikuwa kawaida sana hata mchana nilikuwa namtext sanaa...
Ila siamini kama ilitosheleza
Mfanyakazi alafu katafuta sababu kama hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Braza Umeachwa sababu hata sio hiyoo..Hicho ni Kibuti cha kiaina alafu Kesi umepewa wewe...[emoji119][emoji119][emoji119]Weekend mkuu, mara moja moja jumamosi au jumapili nilikuwa natoka nae..., hata mda mwingine usiku nikirudi saa nne nalwenda kumfata ofisini kwake alikuokuwa anafanya kazi...
Kumbe tatizo liko kwenuKuwa bize na kazi sio shida, tabu ni pale tunashindwa kuamini kweli mko bize na kazi au kuna kazi nyingine inawaweka bize
Alikuwa ameajiriwa kwenye kamini supermarket... haikuwa ajira rasmi na pia ilikuwa haimweki bize muda woteMfanyakazi alafu katafuta sababu kama hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Braza Umeachwa sababu hata sio hiyoo..Hicho ni Kibuti cha kiaina alafu Kesi umepewa wewe...[emoji119][emoji119][emoji119]
La kwangu binafsiKumbe tatizo liko kwenu
Ahaa mini tena...!! Hapo kuna mteja kamnunua na yeye..[emoji23][emoji23][emoji23] Jitahdi uchunguze utagundua ana mtu now ambae ana pesa na mali zaidi yako..Alikuwa ameajiriwa kwenye kamini supermarket... haikuwa ajira rasmi na pia ilikuwa haimweki bize muda wote
Aaha kama unampenda kweli fanya hivyo wanawake watu wa ajabu sana..!! kwa nature ya kazi yake bhasi hilo linawezekana...Mh.. mkuu unanifanya nianze kufikiri upyaaa
Kama ulikuwa huna mchepuko ndo duuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Dada Khantwe naomba nisaidie yani moyo unaniuma hatari nikimkumbuka
Hivi leo asubuhi nimemkumbuka nimempigia simu imeita weeee bila kupokelewa.. nikaamua kumtumia text.."I hope you're fine, nilitaka kukusalimia tu" nayo pia kimyaaa hahaha daaah wakati zamani nikimpigia tu anapokea au akikutaga text alikuwa ni lazima anitafute
Daah...nimeanza kuwaheshimu from now
Sasa mimi nitakusaidia nini mdogo wangu, mpe muda pengine anatingisha kiberitiDada Khantwe naomba nisaidie yani moyo unaniuma hatari nikimkumbuka
Hivi leo asubuhi nimemkumbuka nimempigia simu imeita weeee bila kupokelewa.. nikaamua kumtumia text.."I hope you're fine, nilitaka kukusalimia tu" nayo pia kimyaaa hahaha daaah wakati zamani nikimpigia tu anapokea au akikutaga text alikuwa ni lazima anitafute
Daah...nimeanza kuwaheshimu from now
Ofcoz mkuu me ilinitokea kama wewe sema yeye alikuwa mwanafunzi nkajua kapata mwenzake wanadanganyana huko nkapiga chini sema nilipata ujasiri sababu nilikuwa na mchepuko wangu naukubali sana yani..[emoji23][emoji23][emoji23]Shida ni kwamba keshafanya maamuzi tayari... huoni kama kumfatilia itakuwa najiongezea maumivu tu
Nicheck in box fasterKweli kabisaaaaaaaaaaa
Daah ningejua na mm ningetafuta mchepuko mapema, ila pia siwezagi kumaintain wanawake zaidi ya mmoja ni lazima nitastukiwa tu hahaahahah...Ofcoz mkuu me ilinitokea kama wewe sema yeye alikuwa mwanafunzi nkajua kapata mwenzake wanadanganyana huko nkapiga chini sema nilipata ujasiri sababu nilikuwa na mchepuko wangu naukubali sana yani..[emoji23][emoji23][emoji23]
unafanya kazi customer care tgo?Mkuu nature ya kazi inanifanya nakuwa bize mda wote
it is matter of time, na wewe jikaushe, trust me , atakutafuta tenaHapana