Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

Sali mkuu utapata tu..
Daah nilimzoea sana Teddy wanguu daaah.

She was simple, mtaratibu, mpole, mkarimu, mtulivu, kichwani kumetulia, hana papara, hana show off daaah she deserved to be my wife.

Ila ndo baaasi tena.
 
Habari wakuu

Twende kwenye mada.

Kama ww ni me uko na mpenzi wako na anaonyesha mapenzi yote kwako, anakujali, anakupenda yaani ile kwelikweli..., nakusisitiza rudisha upendo kwake na muoneshe kumjali kama anavyokujali.

Mwanamke anaweza akawa anakutumia text hauzijibu, anakupigia unapuuzia kupokea na pengine huoneshi upendo kwake, unajali kazi tu na kutafuta pesa, my dear huyo mwanamke siku akija kubadilika akaamua kutazama pembeni ndugu yangu huwa ni ngumu sana kumfanya arejee... it is very hard thing.

Mwanamke akiamua kupenda anawekeza kila kitu, hisia, maisha yake na cha muhimu kingine anachowekeza ni muda wake pia..., ni vizuri kama una malengo nae ukamuonesha upendo pia.

Daah inauma..

Yaani nilikuwa najifanya niko bize na kazi, simu zako sipokei si asubuhi, sio mchana usiku ndo kabisaa nakuwa nimechoka balaa nikifika home naishia kulala hoiiiii... ila sijilaumu ni nature ya kazi yangu. asubuhi nakuta ulinitafuta jana yake daah naishia kukupigia tunaongea dk 2 then napotea daaaah siamini kumbe ndo nilikuwa nakupoteza.

Nilijiamini kwamba hutoweza kuniacha kwa jinsi nilivyokuwa nakujali, niliamini vile vizawadi nilivyokuwa nakuletea siku mojamoja visingekufanya ubadili mawazo...

Ilianza kama utani inapita siku mbili mara tatu mara wiki bila kunitafuta mmh nafsi ikaguna maana nilizoea kuona missed calls zako. Yaani siamini leo hii mm ndo nakutafuta hata simu yangu hupokei daah hata text hujibu duuh.

Sasa ndo nimeelewa communication ni kiungo muhimu sana kwenye relationship.

Leo yapata miezi miwili ndo nimeamini rasmi umeniacha duh.

Wakuu mapenzi sio pesa namaanisha mapenzi ya kweli sio pesa, ukiwa na mwanamke anaekupenda kweli pesa inakuwa haina thamani yoyote.
Acha uboya wewe.. sasa unatuambia sisi tukusaidieje? Demu ajakuacha kwasababu humtafuti. Amekuacha kwasababu huna pesa..! Na hujui kum.tomba! Hapo tu ndo ulipokosea.
 
Mawasiliano ni muhimu katika mahusiano. Pole mwaya, kila kitu kinapangwa na Mungu, huyo hakuwa wako, kuna watu wanawekwa kwenye maisha yetu ili kutufunza vitu mbali mbali. Naamini utakayempata utampenda kupitia mafunzo ulopata katika haya yalopita. Cha msingi muombee kheir, niamini utapata mtu ambaye ni sahihi kwako mda Ukifika.
 
Men be like "wanawake wasumbufu sana, kila muda call, kila muda sms, wanafikiri muda wote tunawaza mapenzi tu"
Ukimute pia tatizo linakuja "una kiburi siku hizi, kuna anekutia kiburi, na blah blah......."

Ila ukweli ni kwamba huwa mnajichetua tu ila hizo missed call zetu mnazipenda sana.
 
DOGO NAONA VI-MISSED CALL VYAKO TULIA USINISUMBUE NA BABY WANGU HEBU KATAFUTE HELA WIKI IJAYO NAENDA KUJITAMBULISHA KWAO NA SIMUACHII
 
Mawasiliano ni muhimu katika mahusiano. Pole mwaya, kila kitu kinapangwa na Mungu, huyo hakuwa wako, kuna watu wanawekwa kwenye maisha yetu ili kutufunza vitu mbali mbali. Naamini utakayempata utampenda kupitia mafunzo ulopata katika haya yalopita. Cha msingi muombee kheir, niamini utapata mtu ambaye ni sahihi kwako mda Ukifika.
Asante kwa maneno yako mazuri
 
Men be like "wanawake wasumbufu sana, kila muda call, kila muda sms, wanafikiri muda wote tunawaza mapenzi tu"
Ukimute pia tatizo linakuja "una kiburi siku hizi, kuna anekutia kiburi, na blah blah......."

Ila ukweli ni kwamba huwa mnajichetua tu ila hizo missed call zetu mnazipenda sana.
Hahah daah nilikuwa nikiamka asubuhi nikikuta kanitafuta nachukulia poa ila saivi natamani hata nione missed calk yake..., natamani walau akosee anitafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom