Usitoe vyote.... atacheat tu! Jifunze uchoyo

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,378
Reaction score
19,267
Hii ni kwa wote lakini haswa kwa wanawake usijimalize sana...akiamua kufanya yake anafanya tu
haijalishi level ya mahusiano yenu hata mume na mke

Mara nyingi uaminifu wa mtu umetenganishwa na vitu akiamua kuwa mwamifu kwako atakua tu

Jifunze tu uchoyo ndugu yangu
usitoe kila kitu
 
Mapenzi ni sayari nyingine kabisaa .
Ni rahisi kusema hivi lakini when it comes mtu amependa Huwa Yuko Tayari kufanya unthinkable things

Labda awe Malaya , Maana mtu akisha kuwa Malaya Huwa haendeshwi sana na hisia za mahusiano, Malaya Huwaga wanatumia logic zaidi kwenye mahusiano kuliko kuwa emotional
 
1 Kor 7
Maagizo kuhusu Ndoa
1Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. 2Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
3Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
4Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
5Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda....
 
Hii ni ya wana ndoa, vipi kuhusu waasherati?
 
mshana ulishawah pewa yote wewe???
ni beyond scriptures🤣🤣🤣🤣

utadata wewe mganga
 
mbona mna fanya vitu vizidi kuwa complicated, maana kwa gia hiyo hamna tofauti na ma spy.

yaani ni full kuviziana na kuigiziana, mki ngoja one mistake mhalalishe upuuzi au ubaya wenu.

wee cheki mtu mnaye weza kuvumiliana, kupendana na kuelewana ili maisha yasonge.

kingine jitahidini kuwa marafiki kabla ya uhusiano, ina saidia pale kwenye mzozo.
 
Hii ni kwa wote lakini haswa kwa wanawake usijimalize sana...akiamua kufanya yake anafanya tu
haijalishi level ya mahusiano yenu hata mume na mke

Mara nyingi uaminifu wa mtu umetenganishwa na vitu akiamua kuwa mwamifu kwako atakua tu

Jifunze tu uchoyo ndugu yangu
usitoe kila kitu
Upendo ushida yote Mkuu,labda umpendi kwa ulichosema 100% sawa,
 
Hii ni kwa wote lakini haswa kwa wanawake usijimalize sana...akiamua kufanya yake anafanya tu
haijalishi level ya mahusiano yenu hata mume na mke

Mara nyingi uaminifu wa mtu umetenganishwa na vitu akiamua kuwa mwamifu kwako atakua tu

Jifunze tu uchoyo ndugu yangu
usitoe kila kitu
Mfano kitu gani sasa aninyime, na asiponipa mm anaenda kumpa nani🤔
 
Mapenzi ni sayari nyingine kabisaa .
Ni rahisi kusema hivi lakini when it comes mtu amependa Huwa Yuko Tayari kufanya unthinkable things

Labda awe Malaya , Maana mtu akisha kuwa Malaya Huwa haendeshwi sana na hisia za mahusiano, Malaya Huwaga wanatumia logic zaidi kwenye mahusiano kuliko kuwa emotional
Sio malaya…. Sema ni ubinafsi…. Watu wabinafsi TUNAendeshwa na logic. Na ili uwe mbinafsi ni lazima uwe unajipenda sana, na ili ujipende ni lazima uwe umelelewa na watu wenye upendo.

Malaya wanatoa vyote, kila kitu mezani.
 
Back
Top Bottom