Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,791
- Thread starter
- #161
[emoji22]Sasa Hivi ndio una muda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole kaka
[emoji22]Sasa Hivi ndio una muda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole kaka
Unajua nn MERCIFULKitu gani kilikufanya ujiaminishe kiasi hicho?
[emoji23][emoji23][emoji23]umempa ukweli mchunguMkipendwa mkiheshimiwa mnajiona keki sana nyie wanaume..tulia dawa ikuingie.you are not the only fish in the sea...too late to apologise...spend time with your money..if money is everything to you..
[emoji23][emoji22][emoji23][emoji23][emoji23]umempa ukweli mchungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22]
Ama kweli dawa imeniingia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1138236
Wanamaudhi sana aisee hapo unavumilia ukichoka ni kufunga kamba za viatu na kutambaa na njia, binafsi kuna kaka mmoja alinionaga mjinga kweli namtafuta hapokei simu, akipokea majibu ya hovyo, matusi na mi si mtu wa ugomvi nilivumilia sana nilipokuja kugeuza kisogo haki sipokei simu wala text sijibu, akitumia namba mpya nikigundua ni yeye nakata na kublock kabisa namba wanamaudhi mno yaniUnakuwa na mtu unamuheshimu hata utongozwe vipi unamfikiria yeye haukubali, ukimpigia simu sasa kupokea kwa shida mara asipokee anakuta miss cal zako hapigi sms hajibu watsap anasoma baada ya wiki na hajibu unajiuliza huyu mtu ananiona boya? Ukimwambia mbona upo hivyo mawasiliano hamna majibu sasa unanifikiria vibaya na ugomvi inafika mahali hautaki hata kumuona
Daah ila huyu nilimzoea sanaa, daah mtoto wa watu alikuwa mpole na mtaratibu sanaa..
Yaani ni ile aina ya wanawake watulivu sanaa na kichwani zimo.
Sijui kama nitakuja kumpata kama yeye
Kweli mkuu from Experience...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesema kweli kabisa 100%
Narudia tena "I like her style" in fact, I looove it. 😉Unajua nn MERCIFUL
Mi nilikuwa nachukulia kawaida sana mahusiano yetu, sikujua kwamba kumbe alishaniingia sana moyoni.
Sikutegemea kama angelichukua uamuzi wa namna ile kwa jinsi nilivyokuwa nakwenda nae.
Nilikiwa hata kama tusipoonana kwa mda namwandalia kizawadi, nguo sana sana alikuwa anpendeleaga nguo nzuri nampelekea anatulia mi naona mambo yamekwisha...
Kumbee mwenzangu bado duh, alivyokuja kuchenji [emoji23][emoji23] kiupolee maskini mtoto wa watu, wala hakutumia nguvu
[emoji120][emoji120]Narudia tena "I like her style" in fact, I looove it. 😉
Niamini nisemayo, alikupenda kwa dhati na ndio maana aliendelea kukuvumilia not knowing alikua anajenga uchovu moyoni kwa kutokukueleza yanayomkera; yalipomfika kooni, ndio akachukua uamuzi aliochukua. Kama bado unampenda, ongeza juhudi mpaka akuelewe kua huko tayari kumpoteza
Sasa mbaya ni kwa wale waliooa yaani mwanaume anaona mkewake wa kawaida sanaaa! Phone calls, sweet chats, outings etc anazicancell kabisaa kisa ooh tumeoana sasa tujenge familia khaaa!! Endeleeni tu na huo ubusy wenu siku mkishtuka kumeshakucha teh teh