Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

Dada Khantwe naomba nisaidie yani moyo unaniuma hatari nikimkumbuka
Hivi leo asubuhi nimemkumbuka nimempigia simu imeita weeee bila kupokelewa.. nikaamua kumtumia text.."I hope you're fine, nilitaka kukusalimia tu" nayo pia kimyaaa hahaha daaah wakati zamani nikimpigia tu anapokea au akikutaga text alikuwa ni lazima anitafute
Daah...nimeanza kuwaheshimu from now
jaman hadi nimekuonea huruma,mapenzi haya
 
😀😀 umenikumbusha kaka yangu mmoja alikuwa na girlfriend mashallah...hata leo kawa mtu mzima lakini anang'ara si utani....kaka mbio zake zilikuwa bado kali..hivyo siku akiibuka ndio anamtafuta....siku isiyo na jina akamtafuta mrembo...mrembo akamjibu kuwa ..'ukiwakosa unaowataka ndio unanitafuta'? na kukatiwa simu juu kwa juu....mpaka kesho kaka haamini kama aliachwa na yule mrembo....na hakugeuka nyuma tena.....
 
Aliye sahihi ni mwelewa yani namaanisha akuelewe wewe na kile unachofanya..kama kashidwa kukuelewa na kaamua kuondoka huyo hakua mtu sahihi kwako, Piga kazi utapata mtu anayethamini juhudi zako kutafuta pesa.

Hapo ndio mnapokosea...kuwa aliyeamua kubwaga manyanga si 'muelewa'....
 
Habari wakuu

Twende kwenye mada.

Kama ww ni me uko na mpenzi wako na anaonyesha mapenzi yote kwako, anakujali, anakupenda yaani ile kwelikweli..., nakusisitiza rudisha upendo kwake na muoneshe kumjali kama anavyokujali.

Mwanamke anaweza akawa anakutumia text hauzijibu, anakupigia unapuuzia kupokea na pengine huoneshi upendo kwake, unajali kazi tu na kutafuta pesa, my dear huyo mwanamke siku akija kubadilika akaamua kutazama pembeni ndugu yangu huwa ni ngumu sana kumfanya arejee... it is very hard thing.

Mwanamke akiamua kupenda anawekeza kila kitu, hisia, maisha yake na cha muhimu kingine anachowekeza ni muda wake pia..., ni vizuri kama una malengo nae ukamuonesha upendo pia.

Daah inauma..

Yaani nilikuwa najifanya niko bize na kazi, simu zako sipokei si asubuhi, sio mchana usiku ndo kabisaa nakuwa nimechoka balaa nikifika home naishia kulala hoiiiii... ila sijilaumu ni nature ya kazi yangu. asubuhi nakuta ulinitafuta jana yake daah naishia kukupigia tunaongea dk 2 then napotea daaaah siamini kumbe ndo nilikuwa nakupoteza.

Nilijiamini kwamba hutoweza kuniacha kwa jinsi nilivyokuwa nakujali, niliamini vile vizawadi nilivyokuwa nakuletea siku mojamoja visingekufanya ubadili mawazo...

Ilianza kama utani inapita siku mbili mara tatu mara wiki bila kunitafuta mmh nafsi ikaguna maana nilizoea kuona missed calls zako. Yaani siamini leo hii mm ndo nakutafuta hata simu yangu hupokei daah hata text hujibu duuh.

Sasa ndo nimeelewa communication ni kiungo muhimu sana kwenye relationship.

Leo yapata miezi miwili ndo nimeamini rasmi umeniacha duh.

Wakuu mapenzi sio pesa namaanisha mapenzi ya kweli sio pesa, ukiwa na mwanamke anaekupenda kweli pesa inakuwa haina thamani yoyote.
you only know you love her when you let her go........pole mkuuu, ameshakusikia....huenda akarudi
 
Thamani ya kitu huonekana pindi kikisepa na umekuaje jeuri yako kwa kujifanya upo na ukajua anakupenda na hawezi kukuacha
 
Pole Mkuu imekula kwako. Somo kubwa sana hili. Sasa ikawaje ukawa unamkwepa kiasi hicho? Hata weekend nafasi haikuruhusu!?

Habari wakuu

Twende kwenye mada.

Kama ww ni me uko na mpenzi wako na anaonyesha mapenzi yote kwako, anakujali, anakupenda yaani ile kwelikweli..., nakusisitiza rudisha upendo kwake na muoneshe kumjali kama anavyokujali.

Mwanamke anaweza akawa anakutumia text hauzijibu, anakupigia unapuuzia kupokea na pengine huoneshi upendo kwake, unajali kazi tu na kutafuta pesa, my dear huyo mwanamke siku akija kubadilika akaamua kutazama pembeni ndugu yangu huwa ni ngumu sana kumfanya arejee... it is very hard thing.

Mwanamke akiamua kupenda anawekeza kila kitu, hisia, maisha yake na cha muhimu kingine anachowekeza ni muda wake pia..., ni vizuri kama una malengo nae ukamuonesha upendo pia.

Daah inauma..

Yaani nilikuwa najifanya niko bize na kazi, simu zako sipokei si asubuhi, sio mchana usiku ndo kabisaa nakuwa nimechoka balaa nikifika home naishia kulala hoiiiii... ila sijilaumu ni nature ya kazi yangu. asubuhi nakuta ulinitafuta jana yake daah naishia kukupigia tunaongea dk 2 then napotea daaaah siamini kumbe ndo nilikuwa nakupoteza.

Nilijiamini kwamba hutoweza kuniacha kwa jinsi nilivyokuwa nakujali, niliamini vile vizawadi nilivyokuwa nakuletea siku mojamoja visingekufanya ubadili mawazo...

Ilianza kama utani inapita siku mbili mara tatu mara wiki bila kunitafuta mmh nafsi ikaguna maana nilizoea kuona missed calls zako. Yaani siamini leo hii mm ndo nakutafuta hata simu yangu hupokei daah hata text hujibu duuh.

Sasa ndo nimeelewa communication ni kiungo muhimu sana kwenye relationship.

Leo yapata miezi miwili ndo nimeamini rasmi umeniacha duh.

Wakuu mapenzi sio pesa namaanisha mapenzi ya kweli sio pesa, ukiwa na mwanamke anaekupenda kweli pesa inakuwa haina thamani yoyote.
 
Pole sana niliwahi kukutwa na kesi kama hii ila mimi nilikuwa nasafiri sana kikazi kila nikitia mguu maskani safari nyingine ilikuwa si kawaida na ni mikoa ya mbali hata wazo la weekend kusepa sikuwa nalo. Malalamiko yalikuwa mengi sana nami nikijieleza na kumuomba awe mvumilivu. Yakatokea yaliyotokea, kwa jinsi tulivyopendana NILUMIA sana kusema kweli, leo hii anadai eti ananisubiri NIMUOE! 😳😳😳😳

Dah mkuu nilikuwa nachukulia simple tu, pia nilikuwa naona kama hatoweza kuniacha maana sio kwa upendo ule alionionesha, pia kuna muda alikuwa anarise complain kwa upole sana kuhusu kumpuuzia kwangu ah mi nikawa naona kawaida tu teh... kumbe mtoto wa watu ndani anaumia mi sijui.
 
Pole sana niliwahi kukutwa na kesi kama hii ila mimi nilikuwa nasafiri sana kikazi kila nikitia mguu maskani safari nyingine ilikuwa si kawaida na ni mikoa ya mbali hata wazo la weekend kusepa sikuwa nalo. Malalamiko yalikuwa mengi sana nami nikijieleza na kumuomba awe mvumilivu. Yakatokea yaliyotokea, kwa jinsi tulivyopendana NILUMIA sana kusema kweli, leo hii anadai eti ananisubiri NIMUOE! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Hahaha mkuu sasa unasubiri nn tena
 
  • Thanks
Reactions: BAK
you only know you love her when you let her go........pole mkuuu, ameshakusikia....huenda akarudi
Mkuu nimembembeleza sanaa
Sidhani kama atarudi. Hadi nimemlilia kwenye simu, yaani piga picha mwanaume mzima chozi linanitoka hahaha ila lile chozi lilikuwa la kinafki
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habari wakuu

Twende kwenye mada.

Kama ww ni me uko na mpenzi wako na anaonyesha mapenzi yote kwako, anakujali, anakupenda yaani ile kwelikweli..., nakusisitiza rudisha upendo kwake na muoneshe kumjali kama anavyokujali.

Mwanamke anaweza akawa anakutumia text hauzijibu, anakupigia unapuuzia kupokea na pengine huoneshi upendo kwake, unajali kazi tu na kutafuta pesa, my dear huyo mwanamke siku akija kubadilika akaamua kutazama pembeni ndugu yangu huwa ni ngumu sana kumfanya arejee... it is very hard thing.

Mwanamke akiamua kupenda anawekeza kila kitu, hisia, maisha yake na cha muhimu kingine anachowekeza ni muda wake pia..., ni vizuri kama una malengo nae ukamuonesha upendo pia.

Daah inauma..

Yaani nilikuwa najifanya niko bize na kazi, simu zako sipokei si asubuhi, sio mchana usiku ndo kabisaa nakuwa nimechoka balaa nikifika home naishia kulala hoiiiii... ila sijilaumu ni nature ya kazi yangu. asubuhi nakuta ulinitafuta jana yake daah naishia kukupigia tunaongea dk 2 then napotea daaaah siamini kumbe ndo nilikuwa nakupoteza.

Nilijiamini kwamba hutoweza kuniacha kwa jinsi nilivyokuwa nakujali, niliamini vile vizawadi nilivyokuwa nakuletea siku mojamoja visingekufanya ubadili mawazo...

Ilianza kama utani inapita siku mbili mara tatu mara wiki bila kunitafuta mmh nafsi ikaguna maana nilizoea kuona missed calls zako. Yaani siamini leo hii mm ndo nakutafuta hata simu yangu hupokei daah hata text hujibu duuh.

Sasa ndo nimeelewa communication ni kiungo muhimu sana kwenye relationship.

Leo yapata miezi miwili ndo nimeamini rasmi umeniacha duh.

Wakuu mapenzi sio pesa namaanisha mapenzi ya kweli sio pesa, ukiwa na mwanamke anaekupenda kweli pesa inakuwa haina thamani yoyote.

Watu buana, narejea kutafuta nini
 
Back
Top Bottom