USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

Ameeeen kaka,ubarikiwe sana kuwa na ukimwi sio mwisho wa maisha
Ukimwi sio ugonjwa na wala hakuna mtu anakufa kwa ukimwi ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini na dawa wanazo pewa ni vitamin tuu...ugonjwa unao ongoza kuuwa ni malaria lakini watu wanaona ni kitu cha kawaida kingine ni saratini haya ndio magonjwa ya kuogopwa sio ukimwi.
 
Ukimwi sio ugonjwa na wala hakuna mtu anakufa kwa ukimwi ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini na dawa wanazo pewa ni vitamin tuu...ugonjwa unao ongoza kuuwa ni malaria lakini watu wanaona ni kitu cha kawaida kingine ni saratini haya ndio magonjwa ya kuogopwa sio ukimwi.
Okay mkuu ubarikiwe pia
 
Ukisafiri ama ukiketi pembeni popote ulipojistiri jua kifo kipo pembeni,mara ngapi umesikia mtu kaenda kulala halafu anapitiliza ndio kwa heri ya kuonana,kila mtu mtu atakufa kwa staili yake unaweza ukawa mzima tu ukaanguka kisha ndio kwa heri,vyovyote kila nafsi itaonja mauti mkuu
Mungu amekubariki -you are so intelligent!
 
Ongera kijana Mungu akupe maisha marefu tunahitaji vijana kama Wewe bila kujali Una utajiri kiasi gani?Elimu Kiwango gani?Kazi ya aina gani? Tupaze Sauti za kuvunja ukimya kuwa na VVU sio Mwisho wa maisha unaweza kuzitimiza ndito zako bila kujali una Maambukizi ya VVU, Mimi sasa nina 61 Miaka ,Nimebahatika kupata Watoto 5 Wakati nina Maambukizi ya VVU ,kulingana na vigezo na masharti kuyadhingatia Wanangu wote hakuna mwenye VVU najivunia kuwa mtanzania Nahitaji Watu wote tujue afya yetu hasa kupima VVU ili tuweze kujipanga kwa Maisha ya kimkakati Sio ya Matumaini ,Watanzania hakuna wakala na msemaji wa Mtu mwingine soma ujifunze usipoelewa utaniuliza ila Sio kuwa wakala wakutusemea kutusema sema wala kutusonda vidole kwani kesho yako huijui
Kuna swali, nimemuuliza kuhusu usambazaji wa dawa za ARV na uzalishaji na USA anasimamia wapi? Naomba majibu kama na wewe una mwanga. Na USA anapataje faida ktk izi ARV
 
Ha ha ha ha umefanya nicheke mkuu,one day miaka ya mbeleni nitafanya hata kipindi kwenye television ili kuwapa moyo wengine,leo nimeanza hapa siku nyingine nitaenda facebook hadi Instagram
Umekuwa ukiishi na baba mzazi. Na jee?! gharama ya chakula kwako ikoje kwa siku, Maana mlo kamili ni changamoto kwa asiekuwa na kipato
 
Samahani kwa swali hili,. Ivi mzalishaji wa dawa za ARV ni USA au hapa hapa Tanzania wanzalisha na kusambaza MSD. Alafu mchango wa USA katika ARV upoje
Kuna kipindi Tanzania iliwahi kutengeneza ARV ila ndio zikawa fake ARV, kuhusu mchango wa USA kwenye ARV bado sijajua mkuu
 
Back
Top Bottom