positive is normal
JF-Expert Member
- Dec 25, 2017
- 520
- 978
- Thread starter
- #21
Ha ha ha ha tatizo Tanzania unyanyapaa bado upo lakini kama kungekuwa hakuna unyanyapaa kwa waathirika hata picha ningewekatupia kapicha bas
Ha ha ha ha tatizo Tanzania unyanyapaa bado upo lakini kama kungekuwa hakuna unyanyapaa kwa waathirika hata picha ningewekatupia kapicha bas
Ha ha ha ha ha umenifanya nicheke mkuuAkitupia nijulishe na mm
Mbona zenu hamjaweka?Akitupia nijulishe na mm
Ahsante sana mkuu kwa kuwajibu,mimi sitomjibu vibaya mtu yoyote yule hata akinikejeliMbona zenu hamjaweka?
Wengine wapuuzi sana.Ahsante sana mkuu kwa kuwajibu,mimi sitomjibu vibaya mtu yoyote yule hata akinikejeli
Kondom si zipo kwa ajili ya kinga lakini?Sijawahi kuzini na msichana yoyote yule ,nimewahi kutongozwa mara kadhaa ila niliamua kukataa si vyema kuusambaza ugonjwa huu naamini dawa ya ukimwi ipo siku itapatikana
Achana nao tu mkuu,yaani unawapuuza tu,mimi niliupata ugonjwa huu kwa kuzaliwa,mama yangu alikua muathirika nikiwa na miaka minne mama alifariki,Nashukuru MUNGU maisha yanasonga na pia nipo mzima wa afyaWengine wapuuzi sana.
Kondomu zipo lakini ni maamuzi ya mtu kufanya uzinzi,nishatongozwa na wasichana mara kadhaa ila wote niliamua kuwakatalia,dini zote pia zinakataa uzinzi,so nimejikubali na hali yangu tu na maisha yanasongaKondom si zipo kwa ajili ya kinga lakini?
Ahsante sana mkuuHongera Sana kwa kujitambua.
Kwamba ushapatwa na wivu kiasi icho?jikaze we mtt wa kiume bnaMbona zenu hamjaweka?
Kondomu zipo lakini ni maamuzi ya mtu kufanya uzinzi,nishatongozwa na wasichana mara kadhaa ila wote niliamua kuwakatalia,dini zote pia zinakataa uzinzi,so nimejikubali na hali yangu tu na maisha yanasonga
unao huna?Mara ya kwanza kupima 2007, nikapima 2009, halafu nikapima 2015.
Nyakati zote nilikua uncomfortable kusubiri majibu. Ile moment haizoeleki.
Mleta uzi nakupa hongera kwa attitude yako, samahani sikupi pole unastahili pongezi
Yakupasa ukapime na wewe,majibu ya vipimo vyake ni siri yake,kuweka majibu yake hadharani ni hiari yakeunao huna?
wanaokutongoza tupia namba zao humu mkuu nihangaike naoKondomu zipo lakini ni maamuzi ya mtu kufanya uzinzi,nishatongozwa na wasichana mara kadhaa ila wote niliamua kuwakatalia,dini zote pia zinakataa uzinzi,so nimejikubali na hali yangu tu na maisha yanasonga
Ahsante mkuuHongera kwa kujikubali mwenyewe kwanza
Kupiga puli ndio nini?Ushawahi kupiga puli??
Samahani lakini nimeuliza kiroho safi tuu