kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,383
- 9,214
positive is normalKwa hiyo mkuu katika kipindi chote hicho unatumia nini mpaka umeweza kukaa miaka yote hiyo mkuu.
Ni arv au nifafanulie kiongozi.
Hongera sana.
positive is normalKwa hiyo mkuu katika kipindi chote hicho unatumia nini mpaka umeweza kukaa miaka yote hiyo mkuu.
Ni arv au nifafanulie kiongozi.
Hongera sana.
Usijali mkuu,sikuwahi kutumia Arv miaka ya nyuma,Arv nimeanza kutumia mwaka jana tena baada ya kulazimishwa sana na Daktari wangu ambaye ni rafiki yangu so kuanzia mwaka jana mwezi wa tisa ndio nimeanza kutumia ARVKwa hiyo mkuu katika kipindi chote hicho unatumia nini mpaka umeweza kukaa miaka yote hiyo mkuu.
Ni arv au nifafanulie kiongozi.
Hongera sana.
Majibu ya 2015 mpaka leo nimeshayasahau ndugu yangu.unao huna?
Yeah upo sahihi mkuu,nakubaliana na wewe kwa 100%Hongera, hongera sana mkuu kwa kuishi na hyo hali na kuikubali, wengi wenye ukimwi kinachowaua sio ukimwi bali ni ile depression wanayokuwa nayo, ukiondoa depression kila kitu huwa normally
Nimeshamjibu tayari,angalia utaona nimemquote
Sure chief, mi nina dada yangu upande wa mshua mkubwa nae alizaliwa nao,baada ya kukubaliana na hali halisi anaishi vzr tu na sasa anaitafuta 30 years na yuko fiti balaa na watoto wakeYeah upo sahihi mkuu,nakubaliana na wewe kwa 100%
Ahsana sana mkuu,ubarikiwe sanaDogo, YOU ARE ONE IN A MILLION. Hongera sana. Nimependa maamuzi yako na msimamo wako wa kijasiri na kishujaa sana.
Pole kwa kumpoteza mama ukiwa mdogo sana, ila usimlaumu kwa sababu hujui nae ilikuwaje mpk akaupata. Muombee sana huko aliko. TO ERR IS HUMAN...!!
Big up to her, MUNGU ampe maisha marefuSure chief, mi nina dada yangu upande wa mshua mkubwa nae alizaliwa nao,baada ya kukubaliana na hali halisi anaishi vzr tu na sasa anaitafuta 30 years na yuko fiti balaa na watoto wake
Ahsante mkuu, Christmas njema na kwako piaPole sana uwe na christmas njema pia.
Kwa nn umepima kwa kupishana miaka hivyo?Mara ya kwanza kupima 2007, nikapima 2009, halafu nikapima 2015.
Nyakati zote nilikua uncomfortable kusubiri majibu. Ile moment haizoeleki.
Mleta uzi nakupa hongera kwa attitude yako, samahani sikupi pole unastahili pongezi
Usijali mkuu,sikuwahi kutumia Arv miaka ya nyuma,Arv nimeanza kutumia mwaka jana tena baada ya kulazimishwa sana na Daktari wangu ambaye ni rafiki yangu so kuanzia mwaka jana mwezi wa tisa ndio nimeanza kutumia ARV
Ahsante,Tofauti ipo kwanza ukitumia ARV sometimes unachoka kabisa kama hujala,kuhusu kuacha Arv,kuna kipindi nilienda vijijini na akiba ya dawa iliisha na huko hakukuwa na hospitali wala zahanati hivyo nilikaa wiki tatu bila kutumia Arv, sikupata madhara ila ukianza kutumia sio vizuri kuacha kwani kuna madhara utayapata ,kikubwa ni kuzingatia mlo kamili na dawa,Ooh okay.
Naskia ukianza kumeza hutakiwi kuacha au ni maneno ya watu tu...?
Na umeona tofauti gani kabla ya kuanza kumeza na baada ya kumeza kuna utofauti wowote katika mwili wako mkuu...?
Hongera.
Nilikua sipangi kwenda kupima, yaani ilikua labda natembea sehemu nikikuta wanafanya hiyo kitu ndiyo napima.Kwa nn umepima kwa kupishana miaka hivyo?
Ameeeen kaka,ubarikiwe sana kuwa na ukimwi sio mwisho wa maishaHongera Rafiki. Bora ww ulipata bila ya Zinaa ukimwomba MUNGU kwa Amani na kuamini unaweza pona kabisa tofauti na sie wengine tunaosumbuliwa na Uzinzi maana hata tukipata unajiuliza MUNGU utamuanza anza je kumueleza Shida yako. Pole sana Rafiki.na Hongera sana kwa uwazi wako. MUNGU akupe maisha marefu. Ukimwi sio kufa wanakufa wazima wagonjwa wanadunda. Kikubwa tuombeane majaribu ni Mengi