USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

yaani ukiona umejikubali kwa kiasi hicho hasa katika jamii yetu hii inayotuzunguka, jua ni kwa neema tu, make most of them hutoa koment wanazozijua wenyewe, big up sana bro I swear God is great KAMA HUTO JALI NAOMBA TUFAHAMIANE KIONGOZI, yaan mpaka hapo Una uwezo wa ziada Mungu kakutunuku. All glory to the Allmighty God.
Ameeeeen, kwa hilo la kufahamiana hakuna shida mkuu
 
May God bless you, sio mijitu kujisifia uzinifu kila siku jf, mpaka keyboard zimejiset auto word prediction unaanza kutyp P inamalizia Papuchu, ukityp G inamalizia Gegedo. Naomba Nissan nyeupe irud mtaani
😅😅😅😅 Dah
 
Back
Top Bottom