USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

daaahh awali nilidhani kuwa thread yko nichai
ili baada yakufutilia comment zako ikiwa pamoja nahii nasadiki kuamini hchi ulichotueleza

zaidi ya yote nakupa hongera zilizo naujazo wa tani kwakuweza kunikubali ..nakuitambua thamani ya roho yko kuwa nikubwa kuliko maambukizi hayo..dunia ya sasa inahitaji watu kama wewe...kuna watu wengi tu walikuwa hawana maambukizi ya magonjwa yoyote lakini Leo hatuko nao..
HONGERA MNOO UHAI WAKO UNASABABU MAALUM MUNGU AKUBARIKI KATK MALENGO YAKO
Ha ha ha ha amen mkuu,hakuna chai wala ndimu niliyoongeza hapa ni ukweli mtupu mkuu
 
wewe hujajua utamu wa papuchi. natamani wasichana wakubake, ili usikie utamu wake naamini utabadili mawazo

yani nikwambie tuu kutoa utamu wa casttle lager utamu mwingine ni wa papuchi
Sijawahi kunywa pombe yoyote wala kutumia bangi,mirungi hata sigara,hivyo utamu wa castle sijaujua bado mkuu na sitamani kuujua,ila naamini baada ya asali,utamu wa burger ndio unafuatia
 
ho

Hongera sana Mdogo wangu kwa kuwapa elimu wengine wenye VVU,nakuhakikishia kwa kufanya hivyo unaiweka nafsi yako huru na utaishi maisha marefu yenye furaha na Amani,si wewe tu wapo wengi katika jamii yetu wenye inshu kama yako na wananishi kwa amani na furaha tele,wengine wana watoto zaidi ya mmoja na wamewapata wakiwa na VVU na watoto hawajadhurika na maisha yanaendelea.Kikubwa ni kujitambua na anza kutumia dawa mapema na hata mchumba waweza kuwa naye cha msingi ni kuwa safe.Nakuhakikishia soon Mungu ataonyesha njia na utaondokewa na hiyo kitu.
Asante.
Amen mkuu, shukrani sana ubarikiwe mkuu
 
Habari wakuu,

Natumaini mko poa na Christmas na hata kama uchumi hauko sawa yapaswa kushukuru MUNGU maana kikubwa ni uzima na afya tu.

Dhumuni la uzi huu ni kuwapa moyo wale wote wanaoishi na Virusi vya UKIMWI wajione kama watu wa kawaida na kuwa na virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha.

Mimi ni kijana jinsia ya kiume, nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI miaka 24 iliyopita na mpaka leo niko mzima wa afya na ukiniangalia kwa macho hutofikiria kama naishi na Virusi.

Waathirika wote msikate tamaa na wala msihuzunike, kila kitu kinatokea kwa sababu fulani.

Natanguliza shukrani kwenu na muwe na Christmas njema.

Mwenye maswali au maoni nitamjibu hapa hapa
Hongera sana kwa kujikubali na hiyo ndo tiba namba moja ya hili tatizo. Ninamfahamu pia mtoto wa ndugu yangu alizaliwa HIV+ nadhani sasa anamiaka 30 au 29 na yuko vizuri tu. Kuna magonjwa habari zaidi ya Ukimwi.
 
Hongera kwa kujitokeza ingawa kwa uhalisia kama hujajitokeza coz most of us tunatumia ID fake na hujaweka picha..sioni haja ya wewe kupewa hongera na nafuta hongera yangu ya hapo mwanzo..Jamii inapaswa ikujue
Ha ha ha mkuu hata wewe unatumia fake id,halafu pia wapo wengi tu humu jamii forum wenye hali kama yangu lakini kupitia uzi huu wakajitokeza na kukiri halafu pia mimi sikuomba hongera ya mtu ila kwa kitendo nilichokifanya wengi wameona ni ujasiri wa hali ya juu na wameamua kunipongeza hivyo yanipasa kushukuru mkuu,lakini pia huu ni mwanzo tu soon nitapost facebok, Instagram na social media nyingine mkuu,na kama hata kama ikitokea tv station au radio au kikundi chochote kile nipo tayari kufanya hivyo kwani lengo langu ni kuwatia moyo watu wenye Virusi vya ukimwi
 
Hongera sana kwa kujikubali na hiyo ndo tiba namba moja ya hili tatizo. Ninamfahamu pia mtoto wa ndugu yangu alizaliwa HIV+ nadhani sasa anamiaka 30 au 29 na yuko vizuri tu. Kuna magonjwa habari zaidi ya Ukimwi.
Yeah ni kweli mkuu,uko sahihi cha kwanza ni kukubaliana na hali halisi, shukrani sana, ubarikiwe sana mkuu
 
Hongera sana bro hakika MUNGU ni mkubwa anatenda miujiza kwako .

Kuna yule basketball player wa zamani tena maarufu kabisa anaitwa magic Johnson mgugo unavitu vingi kujifunza kwake hasa katika swala LA kupambana na changamoto za kiuchumi huku ukiwa na hali ya kuwa na HIV bila uoga.

All in All much respect kwako brother Mungu aendelee kukupa afya bora kabisa na miaka mingi na heri duniani
 
Wanasema kupima HIV na majibu ni siri ya mgonjwa na doctor, lakini wanapoenda kuchukua dawa(ARV) wanaonekana na wametengewa mahali kabisa tena wameandika ukimwi,au arv,hii haiathiri mgonjwa hasa ambaye asingependa ajulikane?
 
Ha ha ha mkuu unajua wabishi walikuwepo tangu enzi ya yesu na enzi za mtume Muhammad S.A.W
Siwezi kukulazimisha uamini mkuu endelea kuamini unavyoamini,kuhusu chaputa nilishasema mimi ni retired member wa hicho chama
Sasa kumbe ni mstaafu,teh teh teh ila si unajua kila mstaafu anapata pensheni ya kila mwezi...teh teh teh teh tuishie hapa mkuu nimeshakuelewa sana.....Hongera kwa ujasiri wa kujitangaza na kujikubali,pole kwa hayo maadhi najua haukupenda kuzaliwa hivyo ni mistake tu ya wazazi wako na hupaswi kuwalaumu hata kidogo.......JIKUBALI,UTAYASHINDA MAJARIBU!!
 
Sikiliza mkuu wangu watu wapo zaid ya umri huwo wa miaka 24 watu kutokufanya zinaa mpk atapoowa. Na wala silakushangaaa hilo.
 
Sasa kumbe ni mstaafu,teh teh teh ila si unajua kila mstaafu anapata pensheni ya kila mwezi...teh teh teh teh tuishie hapa mkuu nimeshakuelewa sana.....Hongera kwa ujasiri wa kujitangaza na kujikubali,pole kwa hayo maadhi najua haukupenda kuzaliwa hivyo ni mistake tu ya wazazi wako na hupaswi kuwalaumu hata kidogo.......JIKUBALI,UTAYASHINDA MAJARIBU!!
Mkuu retired means mstaafu ila niimaanisha nilishafanya michezo hiyo nolipokuwa 14 to 16 baada ya hapo sikuwahi kufanya ujinga ile ni hali ambayo kila mtoto anapitia kuelekea utu uzima
 
Wanasema kupima HIV na majibu ni siri ya mgonjwa na doctor, lakini wanapoenda kuchukua dawa(ARV) wanaonekana na wametengewa mahali kabisa tena wameandika ukimwi,au arv,hii haiathiri mgonjwa hasa ambaye asingependa ajulikane?
Mkuu kwa napochukulia mie Arv sio rahisi kunijua ni sehemu salama sana ila kwa huko kwengine uliposema kweli ni tatizo mkuu
 
Hongera sana bro hakika MUNGU ni mkubwa anatenda miujiza kwako .

Kuna yule basketball player wa zamani tena maarufu kabisa anaitwa magic Johnson mgugo unavitu vingi kujifunza kwake hasa katika swala LA kupambana na changamoto za kiuchumi huku ukiwa na hali ya kuwa na HIV bila uoga.

All in All much respect kwako brother Mungu aendelee kukupa afya bora kabisa na miaka mingi na heri duniani
Amen mkuu, ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom