USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

Yeah hapo kabla nikikuwa na uwezo wa kukaa mchana bila kula au hata usiku kama kwa maamuzi yangu ila sasa siwezi kukaa bila kula mkuu
Duh!
Nakupa hongera sana kwa ujasiri wa kujikubali, naamini kuna siku za hivi karibuni dawa itapayikana na watu kama wewe ndio inatakiwa wawe husband material, huu ni mtihani mgumu sana kisaikolojia ila unaonekana kuumudu.
 
Ahsante sana mkuu, Nashukuru ubarikiwe sana
 
Endeleakumtegea Mungu zingatia dawa kukwepa magonjwa nyemelezi yaletayo mauti.
 
Hongera sana mdogo wangu kwa ujasiri, Mungu akulinde na atimize haja za moyo wako kwa imani hiyo uliyo nayo iko siku utapima na utakuta ni negative sali sana
 
Back
Top Bottom