Ongera kijana Mungu akupe maisha marefu tunahitaji vijana kama Wewe bila kujali Una utajiri kiasi gani?Elimu Kiwango gani?Kazi ya aina gani? Tupaze Sauti za kuvunja ukimya kuwa na VVU sio Mwisho wa maisha unaweza kuzitimiza ndito zako bila kujali una Maambukizi ya VVU, Mimi sasa nina 61 Miaka ,Nimebahatika kupata Watoto 5 Wakati nina Maambukizi ya VVU ,kulingana na vigezo na masharti kuyadhingatia Wanangu wote hakuna mwenye VVU najivunia kuwa mtanzania Nahitaji Watu wote tujue afya yetu hasa kupima VVU ili tuweze kujipanga kwa Maisha ya kimkakati Sio ya Matumaini ,Watanzania hakuna wakala na msemaji wa Mtu mwingine soma ujifunze usipoelewa utaniuliza ila Sio kuwa wakala wakutusemea kutusema sema wala kutusonda vidole kwani kesho yako huijui