USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

Umekuwa ukiishi na baba mzazi. Na jee?! gharama ya chakula kwako ikoje kwa siku, Maana mlo kamili ni changamoto kwa asiekuwa na kipato
Kuhusu baba nilishajibu na kwenye post za nyuma na sitojibu tena so pitia kurasa za nyuma utapata majibu,kuhusu gharama ya chakula maximum 10000,minimum 6000 kama nitapika mwenyewe gharama inaweza kushuka kwa sababu kila kitu kipo ndani kuanzia unga,mchele,mafuta,sukari,mayai mpaka vitunguu vyote vipo ndani
 
Hongera sana Dogo .nimefurahishwa mno na majibu yako.hope Mungu atakuinua ili wengi waelimishwe kupitia wewe
 
Huyo anayetibu ni kakobe, mama rwakatale au gwajima. Maana walokole bwana, wasumbufu sana
Siyo ukibisha wewe ndiyo watu hawaponi au jambo likiwashinda wazungu basi wengine hawawezi,hapana kwenye utafiti watu huwa hawafungi milango. Ila dawa ipo na wenzio wanapona na ukienda kupima virus load hospital utapa majibu kwa kiasi gani virus wanavyokufa hapo hakuna Gwajima wala Kakobe. Wewe endelea kushikiwa akili.
 
Kuna swali, nimemuuliza kuhusu usambazaji wa dawa za ARV na uzalishaji na USA anasimamia wapi? Naomba majibu kama na wewe una mwanga. Na USA anapataje faida ktk izi ARV
Hizi dawa ni ghali sana tena sana mshukuru mungu tz na nchi karibu zote za africa wanapewa misaada na Bill Gate ndio kajitolea kulipia dawa zote hizo na kuna chanjo za ukimwi zitaanza kutolewa kwanzia mwakani. Unatakiwa kujua dawa zote hutengenezwa na pharmaceutical company na sio mtu binafsi
 
Hongera sana Dogo .nimefurahishwa mno na majibu yako.hope Mungu atakuinua ili wengi waelimishwe kupitia wewe
Amen mkuu, ubarikiwe sana,niko tayari kwenda kwenye kikundi,jamii,NGO au media yoyote tena bila kufichwa sura ili niwatie moyo wote wenye virusi vya ukimwi maana wengi wamekata tamaa
 
Unamaliza vipi hamu za kimwili mkuu? Maana ile hali ikizidi sana hakuna unachoweza kufanya kikaenda sawa...
Mazoea hujenga tabia mkuu,hisia napata ila Nashukuru Mungu ananiongoza kwani naweza control hisia,nimeruka vikwazo vyote vya wasichana wengine mpaka wa kiarabu coz ndio ilikuwa kampani yangu kubwa,wote wameishia kuwa best friends tu
 
Unacontol hisia kivipi? Umerukaje vikwazo vyote vya wasichana? Funguka watu tuelimike ndugu
 
Mkuu mimi najilinda sana kiukweli sitaki ujinga kabisa, naogopa ukimwi bora uingie kwa njia ingine ila sio ngono,

Naamini waathirika wapo wengi sana mtaani ndio maana nipo makini, MUNGU anisaidie

NAJUA SINA UKIMWI ILA NAOGOPA KUPIMA
 
Endelea kujilinda mkuu na Mungu akusaidie pia
 
Mazoea hujenga tabia mkuu,hisia napata ila Nashukuru Mungu ananiongoza kwani naweza control hisia,nimeruka vikwazo vyote vya wasichana wengine mpaka wa kiarabu coz ndio ilikuwa kampani yangu kubwa,wote wameishia kuwa best friends tu
Daah kaka hii sikubaliani nayo,haiwezekani binadamu kamili mwenye nguvu zake za kutosha za kiume akae bila kufanya ngono/mechanism yoyote ile ya kujikimu kimwili......tuambie tu kwamba CHAPUTA inakuhusu....
 
Ahsante,Tofauti ipo kwanza ukitumia ARV sometimes unachoka kabisa kama hujala,kuhusu kuacha Arv,kuna kipindi nilienda vijijini na akiba ya dawa iliisha na huko hakukuwa na hospitali wala zahanati hivyo nilikaa wiki tatu bila kutumia Arv, sikupata madhara ila ukianza kutumia sio vizuri kuacha kwani kuna madhara utayapata ,kikubwa ni kuzingatia mlo kamili na dawa,
daaahh awali nilidhani kuwa thread yko nichai
ili baada yakufutilia comment zako ikiwa pamoja nahii nasadiki kuamini hchi ulichotueleza

zaidi ya yote nakupa hongera zilizo naujazo wa tani kwakuweza kunikubali ..nakuitambua thamani ya roho yko kuwa nikubwa kuliko maambukizi hayo..dunia ya sasa inahitaji watu kama wewe...kuna watu wengi tu walikuwa hawana maambukizi ya magonjwa yoyote lakini Leo hatuko nao..
HONGERA MNOO UHAI WAKO UNASABABU MAALUM MUNGU AKUBARIKI KATK MALENGO YAKO
 
Kondomu zipo lakini ni maamuzi ya mtu kufanya uzinzi,nishatongozwa na wasichana mara kadhaa ila wote niliamua kuwakatalia,dini zote pia zinakataa uzinzi,so nimejikubali na hali yangu tu na maisha yanasonga

wewe hujajua utamu wa papuchi. natamani wasichana wakubake, ili usikie utamu wake naamini utabadili mawazo

yani nikwambie tuu kutoa utamu wa casttle lager utamu mwingine ni wa papuchi
 
ho
Habari wakuu,

Natumaini mko poa na Christmas na hata kama uchumi hauko sawa yapaswa kushukuru MUNGU maana kikubwa ni uzima na afya tu.

Dhumuni la uzi huu ni kuwapa moyo wale wote wanaoishi na Virusi vya UKIMWI wajione kama watu wa kawaida na kuwa na virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha.

Mimi ni kijana jinsia ya kiume, nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI miaka 24 iliyopita na mpaka leo niko mzima wa afya na ukiniangalia kwa macho hutofikiria kama naishi na Virusi.

Waathirika wote msikate tamaa na wala msihuzunike, kila kitu kinatokea kwa sababu fulani.

Natanguliza shukrani kwenu na muwe na Christmas njema.

Mwenye maswali au maoni nitamjibu hapa hapa
Hongera sana Mdogo wangu kwa kuwapa elimu wengine wenye VVU,nakuhakikishia kwa kufanya hivyo unaiweka nafsi yako huru na utaishi maisha marefu yenye furaha na Amani,si wewe tu wapo wengi katika jamii yetu wenye inshu kama yako na wananishi kwa amani na furaha tele,wengine wana watoto zaidi ya mmoja na wamewapata wakiwa na VVU na watoto hawajadhurika na maisha yanaendelea.Kikubwa ni kujitambua na anza kutumia dawa mapema na hata mchumba waweza kuwa naye cha msingi ni kuwa safe.Nakuhakikishia soon Mungu ataonyesha njia na utaondokewa na hiyo kitu.
Asante.
 
Daah kaka hii sikubaliani nayo,haiwezekani binadamu kamili mwenye nguvu zake za kutosha za kiume akae bila kufanya ngono/mechanism yoyote ile ya kujikimu kimwili......tuambie tu kwamba CHAPUTA inakuhusu....
Ha ha ha mkuu unajua wabishi walikuwepo tangu enzi ya yesu na enzi za mtume Muhammad S.A.W
Siwezi kukulazimisha uamini mkuu endelea kuamini unavyoamini,kuhusu chaputa nilishasema mimi ni retired member wa hicho chama
 
Back
Top Bottom