USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

Asee honger san mkuu..ningetamn kujua siku unayotambua kwamba umezaliw na HIV ulkua umri gan na ulijisikiaj
Ubarikiwe sana
 
Nakumbuka ilikua mwaka 2009 nilikuwa nijiaanda kuanza kidato cha kwanza,nilimaliza darasa la saba mwaka 2008
 
Usijali mkuu,sikuwahi kutumia Arv miaka ya nyuma,Arv nimeanza kutumia mwaka jana tena baada ya kulazimishwa sana na Daktari wangu ambaye ni rafiki yangu so kuanzia mwaka jana mwezi wa tisa ndio nimeanza kutumia ARV
yaani hapa ndipo ulipoanza kujiletea matatizo mkuu {arv siyo}
 
umefariji, umefundisha na kuonya kwa wale wote wasioamini kuna ukimwi, wote wenye kujisifu kuwa wanajua kugegeda na hasa kwa dada zetu ambao siku hizi wanasema watu wana vibamia sasa mkisoma huu uzi vzr ndo mtajua hayo mamihogo mnayoyadai mwisho wake ni nini
asante kwa somo zuri kiongozi kwa sababu mwenyewe nilikuwa na minyege kibao lakini baada ya kusoma huu uzi hata sijui zimeishia wapi
 
Ha ha ha ha umefanya nicheke mkuu,one day miaka ya mbeleni nitafanya hata kipindi kwenye television ili kuwapa moyo wengine,leo nimeanza hapa siku nyingine nitaenda facebook hadi Instagram
 
jipange kwanza aisee manake binadam ni mbaguzi wa hali ya juu sana hapa duniani wataanza yule kaathirika mara mfupi, mara mweusi, ohoo mrefu sana, ooho masikini ili mradi wapate la kusema
 
Ha ha ha ha Tanzania Elimu kuhusu ukimwi iongezwe zaidi hususani vijijini nadhani itapunguza unyanyapaa
 
Je? Kwamfano umefanya mapenzi leo Na mtu mwenye HIV ukakuambukiza alafu kesho ukafanya namtu mwingine asie na virusi je kunauwezekano wayule ukamwambukiza HIV...?????
 
Hongera Kwa Kujitunza Kwa Kutokuzini Cha Msingi Ogopa Dhambi Na Heshimu Mwili Wako Kama Hekalu La Roho Mtakatifu ,,
 
Je? Kwamfano umefanya mapenzi leo Na mtu mwenye HIV ukakuambukiza alafu kesho ukafanya namtu mwingine asie na virusi je kunauwezekano wayule ukamwambukiza HIV...?????
Unapoambukizwa ukimwi,virusi vinaanza kuonekana baada ya miezi mitatu
 
Hongera sana kwa kuwa na matumaini na maisha japo umeathrika.Hii itawasaidia wengine ambao hawajiamini pindi wanapopata maambukizi,na kuishia kunyanyapaliwa.
 
Kwanza nikupongeze mdogo wangu kwa kuikubali hali hiyo, nina swali moja! Je, pana uwezekano wa wazazi wote wawili kuwa positive na watoto wakawa negative?
 
Back
Top Bottom