KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,963
Dawa ipo labda kama haujakutana na wanaojua siyo anachoshindwa mzungu basi sisi hatuwezi.
Mkuu, si ungemuelekeza tu mdau wapi anaweza kupata hiyo dawa akatibiwe kiongozi.
Utakuwa umemsaidia sana mkuu. Thanks.