Ushauri wangu, Wananchi wasipojitokeza kuandamana 29th October

Ushauri wangu, Wananchi wasipojitokeza kuandamana 29th October

JamiiForums
Jukwaa la Siasa
Wabunge wa EU watoa tamko kutekwa kwa Polepole
Thread starterInside10 Start dateToday at 1:13 PM Tagsbalozi polepole bunge la eu humphrey polepole
1 of 2
Next
Last
Jump to new
Subscribe

•••
Inside10
Inside10
JF-Expert Member
Today at 1:13 PM
Add bookmark
#1
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka.

Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge wa EU, Barry Andrews, Robert Biedrón, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt na David McAllister, wamesema wana wasiwasi mkubwa kuhusu matukio ya utekaji na ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, wakosoaji wa Serikali na waandishi wa habari nchini Tanzania.

“Tunatoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha usalama wa Polepole na kuchukua hatua madhubuti kumaliza mwenendo wa vitisho na ukiukwaji wa haki za binadamu,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) pia kulaani tukio hilo na kuitaka Serikali kuchunguza kwa kina hali ya kutoweka kwa Polepole.

Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, katika makazi yake yaliyopo Ununio, Dar es Salaam.

Tayari Jeshi la Polisi, kupitia Msemaji wake David Misime, limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini ukweli wa kilichotokea.
1760184296983.png
Bush Dokta
JF-Expert Member
Today at 1:16 PM
Add bookmark
#2
Inside10 said:

View:
View: https://www.instagram.com/p/DPqiI-fDU8h/?igsh=dDZ0aDk3MGlvaWdv
Click to expand...

Haya mabunge bwana hayana tofauti na ya kwetu
Scars
Scars
JF-Expert Member
Today at 1:16 PM
Add bookmark
#3
Tunahitaji wachukue hatua kali kivitendo zaidi kuliko matamko ya kulaani.
Inside10
Inside10
JF-Expert Member
Today at 1:17 PM
Add bookmark
#4
Scars said:
Tunahitaji wachukue hatua kali kivitendo zaidi kuliko matamko ya kulaani.
Hakika
Umsolopagaasi
JF-Expert Member
Today at 1:19 PM
Add bookmark
#5
Write your reply...hahaha kwani tz ipo ulaya?
DuaZaMama
DuaZaMama
JF-Expert Member
Today at 1:20 PM
Add bookmark
#6
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka.

Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge wa EU, Barry Andrews, Robert Biedrón, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt na David McAllister, wamesema wana wasiwasi mkubwa kuhusu matukio ya utekaji na ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, wakosoaji wa Serikali na waandishi wa habari nchini Tanzania.

“Tunatoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha usalama wa Polepole na kuchukua hatua madhubuti kumaliza mwenendo wa vitisho na ukiukwaji wa haki za binadamu,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) pia kulaani tukio hilo na kuitaka Serikali kuchunguza kwa kina hali ya kutoweka kwa Polepole.

Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, katika makazi yake yaliyopo Ununio, Dar es Salaam.

Tayari Jeshi la Polisi, kupitia Msemaji wake David Misime, limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini ukweli wa kilichotokea.

1760177892087.png

1760177990512.png

Chanzo. Mwananchi
Inside10
Inside10
JF-Expert Member
Today at 1:20 PM
Add bookmark
#7
Umsolopagaasi said:
Write your reply...hahaha kwani tz ipo ulaya?
Akili ya kiCCM
SAD
Lwiva
Lwiva
JF-Expert Member
Today at 1:22 PM
Add bookmark
#8
Scars said:
Tunahitaji wachukue hatua kali kivitendo zaidi kuliko matamko ya kulaani.
ROSTAM AZIZI ANATOA ONGO HADI KWA MABALOZI WA HIZO NCHI
PureView zeiss
PureView zeiss
JF-Expert Member
Today at 1:24 PM
Add bookmark
#9
Hawa wabunge wa ulaya nao wanazingua Tu.
Kwanini wanashindwa kushusha kipigo Kwa CCM
Dume la Dar
Dume la Dar
JF-Expert Member
Today at 1:34 PM
Add bookmark
#10
Watoe AK-47 mengine yataenda yenyewe waache maneno
Gen zy
Member
Today at 1:36 PM
Add bookmark
#11
Dume la Dar said:
Watoe AK-47 mengine yataenda yenyewe waache maneno
Hakika Hiyo itasaidia sana maneno yasiwe mengi
Umsolopagaasi
JF-Expert Member
Today at 1:44 PM
Add bookmark
#12
Write your reply...habari mpya bon yai na jj mnyika kuhamia ccm tarehe 25 mwezi huu
Umsolopagaasi
JF-Expert Member
Today at 1:44 PM
Add bookmark
#13
Write your reply...habari mpya bon yai na jj mnyika kuhamia ccm tarehe 25 mwezi huu
imhotep
imhotep
JF-Expert Member
Today at 1:47 PM
Add bookmark
#14
Lwiva said:
ROSTAM AZIZI ANATOA HONGO HADI KWA MABALOZI WA HIZO NCHI
Teyari wameshamzushia?
Umsolopagaasi
JF-Expert Member
Today at 1:55 PM
Add bookmark
#15
Inside10 said:
Akili ya kiCCM
SAD
acha kulala
The Burning Spear
The Burning Spear
JF-Expert Member
Today at 2:03 PM
Add bookmark
#16
Inside10 said:

View:
View: https://www.instagram.com/p/DPqiI-fDU8h/?igsh=dDZ0aDk3MGlvaWdv
Click to expand...

Haisaidii
Ngunya1
Ngunya1
JF-Expert Member
Today at 2:07 PM
Add bookmark
#17
Hawana msaada ******* tu
baz kaiza
baz kaiza
JF-Expert Member
Today at 2:15 PM
Add bookmark
#18
Aya mabunge huwa yanaongwa baada ya Uchaguzi ukumbuki Nchimbi baada ya kukutana na mablozi wote kimya wafanya biashara wakubwa wa hizo nchi watakuja kuingia mikataba hapa ni matapeli😂😂
Lord Denning
Lord Denning
JF-Expert Member
Today at 2:17 PM
Add bookmark
#19
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa wao na mali zao tupo nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Wewe kesho ukipewa nchi utafanya nini cha tofauti kuboresha maisha ya mtu mmoja mmoja, hapo ndio shida kubwa ya wapinzani, ndio tutaitoa serikali itakuja nyingine ni nini utaniambia kunisukuma nitoke nikijuwa nachofanya kitaniletea mabadiliko. Au ndio kubalishana viti tu maisha ni yale yale. Hapa siongelei sijui katiba sijui kutekwa na ongelea sera za kiuchumi mbadala. Ndio maana wa Tanzania wengi wanapiga break..
Wewe unaamini kwenye one-party system.
Mimi naamini kwenye mult-party system.

Kwenye single party system, tunakosa mawazo mbadala. Ambayo yangeweza kulinufaisha taifa.
Na pia makosa ya chama kilicho madarakani hayaazibiwi.

Tanzania tuko karibu sana na single party system kuliko multiparty system.
 
Hii ni mjadala mwingine, system zote hazina shida maana ziko nchi nyingine hawana hata vyama vya siasa lakini watu wake wanaishi vizuri sana, tuchukulie nchi za Mashariki ya kati hawana hata vyama vya siasa na wananchi wao wanaishi vizuri na kuna China chama kimoja na wako mbali sana na ziko nchi multi party wako mbali. Hapo ni wewe mfano gani unataka kutumia.
 
Wewe kesho ukipewa nchi utafanya nini cha tofauti kuboresha maisha ya mtu mmoja mmoja, hapo ndio shida kubwa ya wapinzani, ndio tutaitoa serikali itakuja nyingine ni nini utaniambia kunisukuma nitoke nikijuwa nachofanya kitaniletea mabadiliko. Au ndio kubalishana viti tu maisha ni yale yale. Hapa siongelei sijui katiba sijui kutekwa na ongelea sera za kiuchumi mbadala. Ndio maana wa Tanzania wengi wanapiga break..
Mkuu samahani, haya unayaelezea umeyagundua lini? Mana ulikua shabiki mkubwa wa chadema na Lissu uchaguzi uliopita
 
Ipo shida ya watu kupenda kusikia kile masikio yao yanataka kusikia, lkn mleta mada kaongea hali halisi..wewe unaishi Tanzania ipi kuamini kuwa watanzania wanaweza kuandamana? Ukipita mitaani na kutazama sura za wananchi unaona Kuna mwenye dalili ya kuandamana? Maandamano Yako mtandaoni na yataishia humu humu....Kwa kusema hivyo haimaanishi mimi sitamani maandamano..nchi bado imejaa watu wajinga na waoga
Nasubiri kale kadada kimbaumbau ka mtaondaoni baada ya tarehe 29, kata watukana wabongo wote mfululizo halafu katarudi kwenye umbea wa selebriti halafu wabongo wataanza kumchangia tena aftatutatu..... imeisha hiyo
 
Mange Kimambi ndiye Organiser huko Instagram na asilimia kubwa ya wananchi hawana habari nae mimi nadhani viongozi wa CHADEMA waseme kama wanayaunga mkono maandamano haya kama yatakuwa ya AMANI
Inaamaana hujui kwamba Tundu Lissu yupo jela kwa sababu gani? Hivi nini maana ya NRNE.
 
Nasubiri kale kadada kimbaumbau ka mtaondaoni baada ya tarehe 29, kata watukana wabongo wote mfululizo halafu katarudi kwenye umbea wa selebriti halafu wabongo wataanza kumchangia tena aftatutatu..... imeisha hiyo
Mkuu kuna wakti nafanya kuona tafiti inaelemea wapi
Kule kwenye jukwaa la kimataifa unaamini ipo siku wapambanaji wa palestina watapata haki yao kutoka kwa Israel na unyama anaofanya Netanyahu utaisha. Hata mimi naamini hili

Kwa nini huku Tanzania kwa ccm huamini kuwa watu wanapaswa kupambania haki yao na Kuna siku wataipata kutokan na dhulma za ccm?
 
Miaka yote huwa na speak my mind. Angaliaga comment zangu.
Mkuu hapa ulikua tayari kumfuata lissu ata akifungua chama kipya. Swali langu lililenga hivi sasa unasema lissu aachane na haya mapambano
Screenshot_20251011-174641_1.jpg
 
Back
Top Bottom