Usisahau kuwa umati wa ccm ni ule ule isipokuwa kinachobadilika n location tuishu hasa ndiyo hiyo ya kujitokeza, huu umati mkubwa unaojitokeza kujaza mikutano ya kampeni nchi nzima kama watajitokeza kupiga kura basi CCM haina haja ya kuhimiza wananchi wajitokeze kupiga kura maana tayari ina kura milioni 13 za wanachama wake, ukichanganya na hawa wanaojaza viwanja watasogea mpaka milioni 20. Milioni 40 hata wasipopiga kura CCM itatangazwa kushinda.
Kwa hali hewa ilivyo inaweza kuwa kweli usemacho au ikawa balaa ambalo haliwezi saulika na ukajikuta unakimbia jf kwa miaka kdhaa kwa andiko lako hili,Kuna kila dalili huenda wakajitokeza wachache wakakamatwa au wasijitokeze kabisa.
Baada ya 29th October itakuwa wakati mzuri wa wanaharakati wa Tanzania kukata tamaa.
Watanzania inabidi waachwe kwenye mateso na changamoto ambazo zitaamsha akili zao bila kuwepo yeyote wa kuwasemea.
Idadi ya watanzania wajinga bado ni kubwa sana, hata wale wanaoelewa mambo ni waoga, hii inarudisha nyuma jitihada zozote za kuikomboa nchi.
Je wewe mwenyewe utajitokeza? Tuanzie hapo kwanza.😎Kuna kila dalili huenda wakajitokeza wachache wakakamatwa au wasijitokeze kabisa.
Baada ya 29th October itakuwa wakati mzuri wa wanaharakati wa Tanzania kukata tamaa.
Watanzania inabidi waachwe kwenye mateso na changamoto ambazo zitaamsha akili zao bila kuwepo yeyote wa kuwasemea.
Idadi ya watanzania wajinga bado ni kubwa sana, hata wale wanaoelewa mambo ni waoga, hii inarudisha nyuma jitihada zozote za kuikomboa nchi.
Wewe kesho ukipewa nchi utafanya nini cha tofauti kuboresha maisha ya mtu mmoja mmoja, hapo ndio shida kubwa ya wapinzani, ndio tutaitoa serikali itakuja nyingine ni nini utaniambia kunisukuma nitoke nikijuwa nachofanya kitaniletea mabadiliko. Au ndio kubalishana viti tu maisha ni yale yale. Hapa siongelei sijui katiba sijui kutekwa na ongelea sera za kiuchumi mbadala. Ndio maana wa Tanzania wengi wanapiga break..Watanzania wengi wamelizika na maisha yao.
Ili mradi mtu anapata pesa ya kula, na kiakiba kidogo.
Akishashabikia simba na yanga, au bongofleva,
Mwingine akishaenda kwenye nyumba za ibada akapewa matumaini
Maisha ndio yameisha hapo.
Hawa watu kushituka usingizini ni mpka hali iwe mbaya sana.
Lissu asihangaike na wajinga naunga mkono hoja.Lissu achukue hela asepe, sioni mtanzania wa kupiganiwa hapa.
waandamanaji wangepata mlinzi wa uhakika % kubwa wangeingia barabarani na husio wategemeaKuna wananchi hawataenda kupiga kura wala hawatajitokeza kuandamana japokuwa wapo upande wa kuandamana. Huu upande wa kuandamana una watu wengi ila hawatajitokeza!
Hiyo siku mitandao yote itazimwa hata VPN haitofanya kazi.. pia umeme utakatwa nchi nzimaMbona kama umeshakata tamaa kwamba hawatajitokeza....mimi nitakuwa live insta, jf na twita nikifuatilia kwa ukaribuView attachment 3486992
waandamanaji wangepata mlinzi wa uhakika nafikiri watanzaniaKuna wananchi hawataenda kupiga kura wala hawatajitokeza kuandamana japokuwa wapo upande wa kuandamana. Huu upande wa kuandamana una watu wengi ila hawatajitokeza!
kwamba hakuna huwezekano wa watu kuboreshewa maisha uko serious kweli na akili timamu?Wewe kesho ukipewa nchi utafanya nini cha tofauti kuboresha maisha ya mtu mmoja mmoja, hapo ndio shida kubwa ya wapinzani, ndio tutaitoa serikali itakuja nyingine ni nini utaniambia kunisukuma nitoke nikijuwa nachofanya kitaniletea mabadiliko. Au ndio kubalishana viti tu maisha ni yale yale. Hapa siongelei sijui katiba sijui kutekwa na ongelea sera za kiuchumi mbadala. Ndio maana wa Tanzania wengi wanapiga break..
Au Mange Kimambi aje Daresalaama kuyaongoza yeye mbele sisi wafuasi wake nyuma.waandamanaji wangepata mlinzi wa uhakika % kubwa wangeingia barabarani na husio wategemea
Ipo shida ya watu kupenda kusikia kile masikio yao yanataka kusikia, lkn mleta mada kaongea hali halisi..wewe unaishi Tanzania ipi kuamini kuwa watanzania wanaweza kuandamana? Ukipita mitaani na kutazama sura za wananchi unaona Kuna mwenye dalili ya kuandamana? Maandamano Yako mtandaoni na yataishia humu humu....Kwa kusema hivyo haimaanishi mimi sitamani maandamano..nchi bado imejaa watu wajinga na waogaUmetumwa kuleta proganda zilishindwa
Duh, kaazi kweli kweli👌Hiyo siku mitandao yote itazimwa hata VPN haitofanya kazi.. pia umeme utakatwa nchi nzima
Kweriiiii otherwise semina elekezii zianze mapema kabisa..Mimi siamini kwamba haki itapatikana kupitia Peace demonstration hivyo sitaandamana. Naamini katika force of arms Kama M23, Taleban n.k. hivyo siku nikipata company nitazama msituni