imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,460
Imeniletea comment yangu ya kipindi kile na nimekujibu kwanini niliandika vile.Mkuu hii njia ya lissu si ndio umesema huitaki na unamtaka aachane kabisa na mapambano?
Imeniletea comment yangu ya kipindi kile na nimekujibu kwanini niliandika vile.Mkuu hii njia ya lissu si ndio umesema huitaki na unamtaka aachane kabisa na mapambano?
Mkuu kile ambacho ulisema hukitaki kwa mbowe ndio ambacho unashauri lissu akifanyeImeniletea comment yangu ya kipindi kile na nimekujibu kwanini niliandika vile.
Kama yangekuwa maandamano ya Yanga day au Simba day mitaa ingefurika.Kama watu hatutotoka majamaa mafisadi yatahondomola na kutubagaza kupita kiasi aisee, manake hili ndolimekuwa tishio kubwa kwao kuwahi kutokea hivyo likipita watatuzoea vibaya mno sasa ndo watakula kwamikono miwili
Ukiangalia vizuri huo mtazamo wangu wa sasa kuwa kuwatetea watu waoga ambao wako bize kwenye mambo ambayo si ya msingi kama Simba Yanga ni waste of time.Mkuu kile ambacho ulisema hukitaki kwa mbowe ndio ambacho unashauri lissu akifanye
Mkuu samahani kwa maswali yote haya lakini ni tafiti ya kujua sababu mbalimbali. Nafahamu binadamu hubadilika kulingana na muda, sababu za kubadilika zinaweza kuwa mapenzi binafsi au kasoro zilizopo kwa sasa zinafangiwa kazi
Sio sasa kwa miaka mingi watanzania wapo hivyo. Mwaka upi watanzania waliacha uoga? Au waliacha kuwa busy Simba na yanga?Ukiangalia vizuri huo mtazamo wangu wa sasa kuwa kuwatetea watu waoga ambao wako bize kwenye mambo ambao si ya msingi kama Simba Yanga ni waste of time.
Kama hawatabadilika inakatisha tamaaSio sasa kwa miaka mingi watanzania wapo hivyo. Mwaka upi watanzania waliacha uoga? Au waliacha kuwa busy Simba na yanga?
Naunga mkono watu kupigania haki zao lakini kwa wabongo hakuna mwenye ujasiri huo kivitendo, tumejaa maneno tu.Mkuu kuna wakti nafanya kuona tafiti inaelemea wapi
Kule kwenye jukwaa la kimataifa unaamini ipo siku wapambanaji wa palestina watapata haki yao kutoka kwa Israel na unyama anaofanya Netanyahu utaisha. Hata mimi naamini hili
Kwa nini huku Tanzania kwa ccm huamini kuwa watu wanapaswa kupambania haki yao na Kuna siku wataipata kutokan na dhulma za ccm?
Maandamano ya amani wakati wanaodai haki yao ya kikatiba hawana amani!?.......viongozi wa CHADEMA waseme kama wanayaunga mkono maandamano haya kama yatakuwa ya AMANI
Kama ni maandamano ya kuichoma Tanzania mimi sitoyaunga mkono lakini yakiwa ni maandamano ya AMANI nitayaunga mkonoMaandamano ya amani wakati wanaodai haki yao ya kikatiba hawana amani!?
Hakika kwa mitizamo kama hii tuache kuwaponza akina Lissu.
Bora tuachwe tu tufe na ujinga uliotugubika na hao wezi wa mali za uma waibe sana sisi na kizazi kijacho tutafidia.
Pole sana POLEPOLE na wapambanaji wengine kwa kazi bure mliyofanya.
Mahakamani tu kwenye kesi ya mwenyekiti wetu Lissu watu wanaogopa mpaka Lissu anashangaa kuwa wafuasi wameenda wapi maandamano ya Mbowe alitoka yeye na binti yake kwahiyo tusichoshane humu mitandaoni.Sawa.
Hivi ni vita, na vita havina macho.
Usilazimishe vile na macho
mtu akisema hana kitambulisho cha mpiga kura si inaishia hapo? Upigaji wa kura wa mwaka huu ni shughuli pevu, labda kama kuna hela watagawiwa huko. Hawa ni watu ambao kwenye kupiga kura hawaendi wala kuandamana hawataenda ila wana vitambulisho vya kura, wanaona ni michosho tu hawana cha kubadilisha!..watu hawatajitokeza kwenye kupiga kura, wala kuandamana.
..wasimamizi wa kura wapite nyumba kwa nyumba kuhakikisha wananchi wanapiga kura.
Kama ni maandamano ya kuichoma Tanzania mimi sitoyaunga mkono lakini yakiwa ni maandamano ya AMANI nitayaunga mkono
29 october ikipita bila wananchi kufanya maamuzi Gwajima, Lissu, kapteni tesha na Polepole(kama atakua hai) watajilaumu sana kwa uamuzi wao wa kuwatetea waswahili wa bongoKuna kila dalili huenda wakajitokeza wachache wakakamatwa au wasijitokeze kabisa.
Baada ya 29th October itakuwa wakati mzuri wa wanaharakati wa Tanzania kukata tamaa.
Watanzania inabidi waachwe kwenye mateso na changamoto ambazo zitaamsha akili zao bila kuwepo yeyote wa kuwasemea.
Idadi ya watanzania wajinga bado ni kubwa sana, hata wale wanaoelewa mambo ni waoga, hii inarudisha nyuma jitihada zozote za kuikomboa nchi.