Na Mercedes Benz anayoSAULI LUXURY BUS
Ni Scania Na Volvo
Chuma Za Moto Zile
Nimeiona hii mnyama dpk katika ubora wake
Mkuu, siku hizi haiitwi SUMATRA (Surface and Marine Transport Reguatory Authority), bali ni LATRA (Land Transport Regulatory Authority).Wakuu habari,
Ningependa kuishauri SUMATRA wawaite na kuwashauri wamiliki/madereva wa mabasi ya SAULI kuwa kusifiwa barabarani kwa ubingwa wao wa kukimbia speed kubwa na kuovertake bila mpangilio siku moja kutagharimu maisha ya abiria wasio na hatia.
Ushauri wangu ni huo kwenu SUMATRA msije sema hamkuambiwa.
Ilikuwa ni noma sana kiukweli, ile ligi ilikuja kuwa tamu alipoingia Buffalo, loo, yaani Saa sita kasoro upo stand ya Moshi Mjini, kuna kila sababu ya kuwapongeza wale madereva kwa umahiri wao kwasababu na Bara bara hazikuwa bora kihivyo ila jamaa walikuwa wanakamua zile machine acha kabisaNgorika
Dar moshi linafika saa sita halafu anabeba tena abiria wa moshi dar anaingia saa moja mamaeeee..........moshi ilikua kama unaenda moro tu
Labda mkuu, nilipanda mda kidgo mzee. Ila hicho ndo nlichogundua, hawasimami hovyo kama wengine ndio maana wanawahi kufika lakini pia hawasumbuliwi sana askari.
Nani ameshapanda ally's star dar to mwanza gari zinatembea ni balaaDpk ya deer mamaeee huyo ndio anaetoana nae jasho sauli halafu namuona anampumulia hapo mgongoni.....hatariii
Sijawahi safiri iyo njia mdau........Nani ameshapanda ally's star dar to mwanza gari zinatembea ni balaa
Kwahyo acheni kusema sauli anatembea... ally's star ni balaaSijawahi safiri iyo njia mdau........
Mwambie alete basi mbeya mdauKwahyo acheni kusema sauli anatembea... ally's star ni balaa
Nadhani watu wanapima ule mda jamaa anaoawahi kufika dar/mbeya ndio maana wanasema ana speed, kuna factors nyingi zinazofanya gari ichelewe iendako ko wao wakaona wapunguze baadhi ya vitu njiani, simple tu wamewin icho kitu.
Na ww mwambie sauli apeleke gari mwanzaMwambie alete basi mbeya mdau
😂😂😂😂 Kuna magar mengine nyie mkienda kula dereva anaenda kugegeda.Imagine mnashuka hotelini mnakaa Dakika 20>>
Sheli zaidi ya mbili mnaenda kuchimba dawa
Dereva Ana kituo anasubiri package ya chakula itoke nyumbani
Ninachokiona, ni jamaa anachafuliwa tu na wala hana hiyo kituWakuu habari,
Ningependa kuishauri SUMATRA wawaite na kuwashauri wamiliki/madereva wa mabasi ya SAULI kuwa kusifiwa barabarani kwa ubingwa wao wa kukimbia speed kubwa na kuovertake bila mpangilio siku moja kutagharimu maisha ya abiria wasio na hatia.
Ushauri wangu ni huo kwenu SUMATRA msije sema hamkuambiwa.
Mbeya boy!Sidhani kama deer na new force walipata jina kubwa ivi kama sauli
Iache iende
Hizo Ally's Stars Ni Chombo Hasa Dar es Salaam ~MwanzaNani ameshapanda ally's star dar to mwanza gari zinatembea ni balaa
Iache iende!View attachment 1857455
mashine hii hapa. Picha yangu mwenyewe.
Je treni?Mkivunjika viuno na mwendokasi wa hizo gari msije kupeleka lawama kwa Samia tu,
Mzee umewapania sana, lazma iko jambo. Kweli unasema kwa sauli, halafu unapiga kimya mpinzani wake? Nani anakuaga mbele kila siku kuingia mbeya na tunduma?mkuu kwani anae regulate usafiri wa nchi kavu ni nani? na nimespecify kabisa kua tatizo ni kwa madereva wa mabasi ya SAULI sababu tangia nimeanza kutumia barabara hawa jamaa wapo tofauti sana hata ukiuliza ni nani mabingwa wa speed road sasa hivi utaambiwa ni sauli