PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,396
- 46,324
SISI tunaopenda ligi za mabasi tutapanda Saul kama wewe unaona speed ya sauli ni kubwa tafuta mabasi mengine
Nilikuwa sijui kumbe zile ni ScaniaMwamba kateleza mno
Mkivunjika viuno na mwendokasi wa hizo gari msije kupeleka lawama kwa Samia tu,Acha watu wawahi, we panda shambalai mkuu,ikija tren ya mwendo Kasi si ndo utakufa kabisa, Moro lisaa limoja tu,
Hata mimi nishawahi panda sikuona speed yoyote inayosemwa zaidi ya kujali muda, chakula walipita na karatasi unaweka order halafu wakifika ni kubeba tu na kugawa kwa abiria nishapanda mabasi kama ally’s star sidhani kama Sauli wana speed kuliko hawa jamaa wanavyokamuaNiliwahi kupanda hili basi ila hiyo speed inayosemwa na wengi sikuiona kwakweli.
Kinachofanya hili basi lifike haraka ni kua halina vituo vingi na halikai stendi. Ile siku nakumbuka pale msavu hatukutumia dakika nyingi, izo stendi nyingine ni kuingia na kutoka tu hakuna kusimama hovyo kupoteza muda.
Mabasi mengine kama rungwe na newforce vituo ni vingi, wanabeba abiria hata wa rout fupifupi.
Sauli baba laoWakuu habari,
Ningependa kuishauri SUMATRA wawaite na kuwashauri wamiliki/madereva wa mabasi ya SAULI kuwa kusifiwa barabarani kwa ubingwa wao wa kukimbia speed kubwa na kuovertake bila mpangilio siku moja kutagharimu maisha ya abiria wasio na hatia.
Ushauri wangu ni huo kwenu SUMATRA msije sema hamkuambiwa
Barabara ilikua inaruhusu hapoMwamba kateleza mno
95Nilikuwa sijui kumbe zile ni Scania
Achana na basi ambazo sio saizi yako...panda njelenga.Wakuu habari,
Ningependa kuishauri SUMATRA wawaite na kuwashauri wamiliki/madereva wa mabasi ya SAULI kuwa kusifiwa barabarani kwa ubingwa wao wa kukimbia speed kubwa na kuovertake bila mpangilio siku moja kutagharimu maisha ya abiria wasio na hatia.
Ushauri wangu ni huo kwenu SUMATRA msije sema hamkuambiwa.
Basi za morogoro za saa nane kuja dar zilizubaa huwa zinakutwa na hii mashine...Wiki mbili zilizopita wameingia Morogoro saa 2:47 asubuhi wakitokea Dar, wakabana maeneo ya oilcom
Sauli ndio basi yangu hata nikienda iringa dar napanda hiyo...Tuacheni na usafiri wetu wa haraka wa Mbeya.
Sio kwamba wanaenda mwendokasi sana Laah,WANAJALI MUDA MNO.
Nakumbuka Marcopolo za Abood enzi zile ilikuwa 2hrs net Dar MoroBasi za morogoro za saa nane kuja dar zilizubaa huwa zinakutwa na hii mashine...
Mdau huo muda umeuona lakiniHuu ni mkeka wa leo toka dar hadi mbeya..
Kwanini unamtaja tu sauli kuwa anakimbia wakati gari ya kwanza ni Golden deer (legendary)View attachment 1857436
Acha ujinga wewe, ungepanda Ngorika miaka hiyo Arusha dar unatoboa saa nane na nusu, si ungekufa wewe, ukiona hayakuafai omba lift kwenye maloriWakuu habari,
Ningependa kuishauri SUMATRA wawaite na kuwashauri wamiliki/madereva wa mabasi ya SAULI kuwa kusifiwa barabarani kwa ubingwa wao wa kukimbia speed kubwa na kuovertake bila mpangilio siku moja kutagharimu maisha ya abiria wasio na hatia.
Ushauri wangu ni huo kwenu SUMATRA msije sema hamkuambiwa.
huyo mtu basi zake zishawahi pata ajali? kama hazijawahi acha waendelee inaonekana wako makiniWakuu habari,