Ushauri wangu kwa SUMATRA kuhusu magari ya Sauli

Screenshot_2021-07-17-23-55-19-1.jpg
 
Wakuu habari,

Ningependa kuishauri SUMATRA wawaite na kuwashauri wamiliki/madereva wa mabasi ya SAULI kuwa kusifiwa barabarani kwa ubingwa wao wa kukimbia speed kubwa na kuovertake bila mpangilio siku moja kutagharimu maisha ya abiria wasio na hatia.

Ushauri wangu ni huo kwenu SUMATRA msije sema hamkuambiwa.
Mkuu, siku hizi haiitwi SUMATRA (Surface and Marine Transport Reguatory Authority), bali ni LATRA (Land Transport Regulatory Authority).

Asante.
 
Nikusaidie TU
Latra .nk wotee wakomifukoni mwao
Uaminii simamishweni SIKUMOJA uone

traffic akiwachelewesha konda anasms wanapigiwa SIMU tr.....garii inaondokaaa hapooo utaeleewa wimbooo wa

njoooni kwa mponyaa njoooni leoooo
 
Ngorika
Dar moshi linafika saa sita halafu anabeba tena abiria wa moshi dar anaingia saa moja mamaeeee..........moshi ilikua kama unaenda moro tu
Ilikuwa ni noma sana kiukweli, ile ligi ilikuja kuwa tamu alipoingia Buffalo, loo, yaani Saa sita kasoro upo stand ya Moshi Mjini, kuna kila sababu ya kuwapongeza wale madereva kwa umahiri wao kwasababu na Bara bara hazikuwa bora kihivyo ila jamaa walikuwa wanakamua zile machine acha kabisa
 
Labda mkuu, nilipanda mda kidgo mzee. Ila hicho ndo nlichogundua, hawasimami hovyo kama wengine ndio maana wanawahi kufika lakini pia hawasumbuliwi sana askari.
Dpk ya deer mamaeee huyo ndio anaetoana nae jasho sauli halafu namuona anampumulia hapo mgongoni.....hatariii
Nani ameshapanda ally's star dar to mwanza gari zinatembea ni balaa
 
Nadhani watu wanapima ule mda jamaa anaoawahi kufika dar/mbeya ndio maana wanasema ana speed, kuna factors nyingi zinazofanya gari ichelewe iendako ko wao wakaona wapunguze baadhi ya vitu njiani, simple tu wamewin icho kitu.

Imagine mnashuka hotelini mnakaa Dakika 20>>

Sheli zaidi ya mbili mnaenda kuchimba dawa

Dereva Ana kituo anasubiri package ya chakula itoke nyumbani
 
Imagine mnashuka hotelini mnakaa Dakika 20>>

Sheli zaidi ya mbili mnaenda kuchimba dawa

Dereva Ana kituo anasubiri package ya chakula itoke nyumbani
😂😂😂😂 Kuna magar mengine nyie mkienda kula dereva anaenda kugegeda.

Mtamsubiri amalize akija ale ndo safari ianze tena
 
Wakuu habari,

Ningependa kuishauri SUMATRA wawaite na kuwashauri wamiliki/madereva wa mabasi ya SAULI kuwa kusifiwa barabarani kwa ubingwa wao wa kukimbia speed kubwa na kuovertake bila mpangilio siku moja kutagharimu maisha ya abiria wasio na hatia.

Ushauri wangu ni huo kwenu SUMATRA msije sema hamkuambiwa.
Ninachokiona, ni jamaa anachafuliwa tu na wala hana hiyo kitu

Mwendo anaotembea ni mwendo wa kawaida sana, ukizingatia na zile gari ikizidi 85kph inakata inazima.


Tujaribu kuwa fair, jamaa anafanya kazi nzuri na anazingatia sheria zote.

Umeshaona gari za mpinzani wake zinavyokwenda na kufanya overtaking za hovyo? Mbona hizo hauziongelei?
 
mkuu kwani anae regulate usafiri wa nchi kavu ni nani? na nimespecify kabisa kua tatizo ni kwa madereva wa mabasi ya SAULI sababu tangia nimeanza kutumia barabara hawa jamaa wapo tofauti sana hata ukiuliza ni nani mabingwa wa speed road sasa hivi utaambiwa ni sauli
Mzee umewapania sana, lazma iko jambo. Kweli unasema kwa sauli, halafu unapiga kimya mpinzani wake? Nani anakuaga mbele kila siku kuingia mbeya na tunduma?

Tuache double standards
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom